Recent content by ZuluBoy

  1. Z

    Big Brother Africa 2009: The Revolution

    Paloma sio mnafiki anaishi maisha halisi sio muigizaji. Baadhi yetu tunapenda sana kuishi artficial life has tunapofukuzia demu au dili fulani, kwa mfano mabrother watajifanya hata kupika ukitembelewa na kidosho but baada ya kuona au kumlamba, unang'aka jikono siingii. Paloma anaishi kama...
  2. Z

    Big Brother Africa 2009: The Revolution

    What I didnt like about her nomination was putting all three Namibians to the eviction raw. The results is that whatever will happen, she will stand to face the Southern Alliance which iz Zimbabwe, South Africa and Namibia minus Botswana. The girls' alliance of thinking that by nominating the...
  3. Z

    Ali Mufuruki: Chairman and CEO Infotech Investment Group

    Mukulu uko sahihi, Bongo tumezidi, pesa kidogo tu, unakimbilia maghari ya kifahari eti kujulikana mjini. Kuna rafiki yangu ana maghari matatu kwake--Vogue, Audi Q7 na BMW x5, jumla yote ni dola laki mbili na nusu. Thamani ya haya maghari ni mtaji wa Kuanzisha kiwanda cha minofu ya samaki au...
  4. Z

    Ali Mufuruki: Chairman and CEO Infotech Investment Group

    There was another clause in the ATCL-SAA agreement which stated that after two years, the government will sell its 10 percent share to a strategic investor under the conditions that the buyer should not be a potential threat to the partnership in the region. Before selling the shares, both...
  5. Z

    Ali Mufuruki: Chairman and CEO Infotech Investment Group

    Ali Mufuruki, Muhaya ambaye Marehemu baba yake alihamia Geita katika miaka ya 70 na kufanikiwa kuoa zaidi ya wake watatu. Akazaa watoto wengi wa Kutosha na Kujenga familia kubwa pale Geita lakini hawakuwa na mali nyingi ila maisha angalau nafuu kwa viwango vya pale Kwetu Geita. First of all...
  6. Z

    Haaaa Mzee Mengi!!

    Mh hizi thread zingine jamani; Sasa kazi ya Kujenga barabara tangu lini ikawa ya Mzee Mengi? Na hata kama akijitolea kujenga kwa fedha zake itabidi apate kibali toka serikali kuu na jiji ikiwa ni pamoja na kueleza nia na madhumuni ya kufanya hivyo. Pale ambapo mtu huna cha kusema au hoja ya...
  7. Z

    Madhara yatokanayo na unywaji wa Red bull

    Mkuu umeniokoa, Mie na mama watoto eti kabla ya kunanii lazima tunywe lakini inatupa shida. Wewe ni kama mtu wa kumi hivi japo umeingia kwa undani. Leo hii hata zile za akiba naenda kuzitupa bora kunywa Gongo la Tarime. This is a very educative post.
  8. Z

    Gaddafi (Qaddafi) yuko sahihi?

    Nadhani una point lakini, nini suluhisho la haya yote? Kwa nini hawataki Islamic State? Kwani Somalia wemejaribu kuwa jamuhuri ya Kiislamu ikashindikana? Kwa nini wasikae mezani makundi yote yanayo pingana ili waandae kura ya maoni ili kama kweli Islamic State ndio muafaka, then iundwe...
  9. Z

    Naliona anguko la Kibanda

    Ndugu, Rostam hakuwahi kumsaidia Raila Amolo Odinga kwa sababu kama ni fedha huyu Jaluo ana pesa ya kutosha na elimu ya maswala ya kisiasa na kijeshi zaidi ya Aziz. Leo hii ni partner na matajiri wa Afrika kama Cyril Ramaphosa. By the way, RA kwa kenya hajafikia hata level ya Joe Michuki...
  10. Z

    Gaddafi (Qaddafi) yuko sahihi?

    Jamani, Dear all members of the home of great thinkers, Naomba ufafanuzi toka kwa watalaamu wa maswala ya Political Science au yeyote mwana JF kuhusu kauli za Rais Wa Libya Muamar Gadafi. Akihutubia wakuu wa nchi za Afrika Mei mwaka huu, aliunga mkono maharamia wa kisomali na kusema...
  11. Z

    Naliona anguko la Kibanda

    Mkulima, Be careful. Kuna interest free loan ambazo hutolewa na waajiriwa kama wafanyakazi wa ngazi fulani kama kivutio kazini. Mwananchi imetoa mikopo ya kati ya milioni kumi mpaka 20 kwa wahariri ili wawe na usafiri na hawalipi riba. CRDB wamefanya hivyo. Benki kuu pale nani anao...
  12. Z

    Naliona anguko la Kibanda

    Jamani, Hivi Hayati Nyerere aliposhinikiza Jina la John litolewe ama la anarudi Butiama, si ilipita? Na je Dr. Mohamed Gharib Bilal alipoambiwa ajitoe kunusuru chama si ilipita? Why Chadema? Kwani ndio wa Kwanza? Kumbukeni maneno ya Raila Odinga siku walipotiliana mkaataba wa kugawana...
  13. Z

    Naliona anguko la Kibanda

    Hivi jamani huyu Kibanda ni Mpiga kura wa Chadema? Maana kama kweli zito alikuwa anadhamira ya kweli na sio kutafuta kurudi ulingoni hapakuwa na sababu ya kutoa jina. Angeacha demokrasia ifuate mkondo wake na alikuwa na support ya ndani na nje ya Chama. Kibanda alitumia uhuru huo huo...
  14. Z

    Naliona anguko la Kibanda

    If this is the case then who should wee trust? Mbowe is accused of using Kibanda as well as free media for his personal interests, and so does Reginald Mengi; Rostam Aziz is also accused of using his media outlets for political gains and so does His Highness Aghakan etc. Sasa tusome nini...
  15. Z

    Orijino Komedi: Kwa faida ya nani?

    In life sometime it's very easy to be at the top, but the biggest challenge is to maintain that status. The Original Comedy Group Managed to rapidly conquer the hearts of thousands of Tanzanians, but as time goes on, the challenge is whether will they maintain the quality or not. I agree with...
Back
Top Bottom