Madhara yatokanayo na unywaji wa Red bull

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
Just one can of the popular stimulant energy drink Red Bull can increase the risk of heart attack or stroke, even in young people, Australian medical researchers said on Friday.

The caffeine-loaded beverage, popular with university students and adrenaline sport fans to give them "wings", caused the blood to become sticky, a pre-cursor to cardiovascular problems such as stroke.

"One hour after they drank Red Bull, (their blood systems) were no longer normal. They were abnormal like we would expect in a patient with cardiovascular disease," Scott Willoughby, lead researcher from the Cardiovascular Research Centre at the Royal Adelaide Hospital, told the Australian newspaper.

redbull.jpg

Red Bull Australia spokeswoman Linda Rychter said the report would be assessed by the company's head office in Austria.

"The study does not show effects which would go beyond that of drinking a cup of coffee. Therefore, the reported results were to be expected and lie within the normal physiological range," Rychter told Reuters.

Willoughby and his team tested the cardiovascular systems of 30 young adults one hour before and one hour after consuming one 250ml can of sugar-free Red Bull.

The results showed "normal people develop symptoms normally associated with cardiovascular disease" after consuming the drink, created in the 1980s by Austrian entrepreneur Dietrich Mateschitz based on a similar Thai energy drink.

Red Bull is banned in Norway, Uruguay and Denmark because of health risks listed on its cans, but the company last year sold 3.5 billion cans in 143 countries. One can contains 80 mg of caffeine, around the same as a normal cup of brewed coffee.

The Austria-based company, whose marketing says "Red Bull gives you wings", sponsors Formula 1 race cars and extreme sport events around the world, but warns consumers not to drink more than two cans a day.

Rychter said Red Bull could only have such global sales because health authorities across the world had concluded the drink was safe to consume.

But Willoughby said Red Bull could be deadly when combined with stress or high blood pressure, impairing proper blood vessel function and possibly lifting the risk of blood clotting.

"If you have any predisposition to cardiovascular disease, I'd think twice about drinking it," he said.

IT IS ADVISED NOT TO CONSUME RED BULL. IT IS A VERY DANGEROUS DRINK!

As a public health safety, please pass on this email to all the contacts in your address book especially those with teenage children… and make copies to show to all the people you know…

This drink is SOLD in all the supermarkets IN OUR country… and our children ARE CONSUMING IT ON A TRIAL BASIS… IT can be mortal…

RED BULL was created to stimulate the brains in people who are subjected to great physical force and in "stress coma" and never to be consumed like an innocent drink or soda pop. RED BULL IS the energizer DRINK that is commercialized world-wide with its slogan:

'It increases endurance; awakens the concentration capacity and the speed of reaction, offers more energy and improves the mood. All this can be found in a can of RED BULL, the power drink of the millennium.!

'Red Bull has managed to arrive at almost 100 countries worldwide. The RED BULL logo is targeted at young people and sportsmen, two attractive segments that have been captivated by the stimulus that the drink provides.

It was created by Dietrich Mateschitz, an industrialist of Austrian origin who discovered the drink by chance. It happened during a business trip to Hong Kong, when he was working at a factory that manufactured toothbrushes.

The liquid, based on a formula that contained caffeine and taurine, caused a rage in that country. Imagine the grand success of this drink in Europe where the product still did not exist, besides it was a superb opportunity to become an entrepreneur.

BUT THE TRUTH ABOUT THIS DRINK IS ANOTHER THING:

FRANCE and DENMARK have just prohibited it as a cocktail of death, due to its vitamin components mixed with GLUCURONOLACTONE', a highly dangerous chemical, which was developed by the United States Department of Defense during 60 years to stimulate the moral of the troops based in VIETNAM, which acted like a hallucinogenic drug that calmed the stress of the war.

But their effects in the organism were so devastating, that it was discontinued, because of the high index of cases of migraines, cerebral tumors and diseases of the liver that was evident in the soldiers who consumed it.

And in spite of it, in the can of RED BULL you can still find as one of its components: GLUCURONOLACTONE, categorized medically as a stimulant.

But what it does not say on the can of RED BULL, are the consequences of its consumption, and that has forced us to place a series of WARNINGS:

1. It is dangerous to take it if you do not engage in physical exercise afterwards, since its energizing function accelerates the heart rate and can cause a sudden attack.

2. You run the risk of undergoing a cerebral hemorrhage, because RED BULL contains components that dilute the blood so that the heart utilizes less energy to pump the blood, and thus be able to deliver physical force with less effort being exerted.

3. It is prohibited to mix RED BULL with alcohol, because the mixture turns the drink into a "Deadly Bomb" that attacks the liver directly, causing the affected area never to regenerate anymore.

4. One of the main components of RED BULL is the B12 vitamin, used in medicine to recover patients who are in a coma; from here the hypertension and the state of excitement which is experienced after taking it, as if you were in a drunken state.

5. The regular consumption of RED BULL triggers off symptoms in the form of a series of irreversible nervous and neuronal diseases.

CONCLUSION: It is a drink that should be prohibited in the countries of the Caribbean and Latin America, (and the entire world) as it is already waking up other nations because when it is mixed with alcohol it creates a time bomb for the human body, mainly between innocent adolescents and adults with little experience..

SOURCE: Report of. D. KHALET GEBARA, Md, UCLA University, California, the USA

RED BULL Huuzwa katika maduka makubwa (Supermarkets) na madogo (Retail Shops) katika nchi ya Tanzania na watu wazima na watoto wetu wengi wana mazoea ya kunywa kinywaji hiki ambacho kinaweza kusababisha kifo!

Kemikali zinazopatikana katika kinywaji cha RED BULL zilitengenezwa maalum katika maabara za kijeshi za Ma rekani kwa ajili ya kutuliza mzuka wa maaskari wao wakati wakitekeleza mauaji ya kikatili sana dhidi ya wananchi wa Vietnam miaka ya sitini na sabini. Kemikali hizo zilitumikapia kama dawa ya kuwazindua watu waliozirai ("stress coma"). Hazikukusudiwa kutumiwa kama kinywaji au kilevi cha kawaida! Duniani kinywaji hiki (RED BULL) huuzwa kama kitu cha kuleta msismko (Energizer Drink) na matangazo yake yanataja sifa zake kama ifwatavyo.

"Ni kinywaji kinachompa mtu nguvu ya kustahimili na umakini. Humpa mtu kasi ya vitendo" ... na kadhalika.

RED BULL imesambaa katika nchi 100 kwa mpigo (nchi masikini!). Na matangazo yake kuwalenga vijana na watoto, hasa wanamichezo. Hawa ni rahisi kushabikia kinywaji hiki kibaya na kudhurika kiafya baadaye. Katika hali yake ya matumizi ya sasa kinywaji hiki kiligunduliwa na Mjerumani Dietrich Mateschitz ambaye alikikuta huko Hong Kong kikiwa ni mojawapo ya madawa yaliyotumika katika kutengeneza dawa ya mswaki wa meno. Dawa hiyo ilitengenezwa kwa kemikali ambazo zina kafeni na taurini ("caffeine and "taurine). Mjerumani huyo aliona vijana wajinga wa huko wakishabikia unywaji wake akaona mwanya wa kufanya biashara na akafanikiwa kukileta ulaya.

ATHARI ZA KUNYWA RED BULL
Kinywaji kinachotengenezwa na kusambazwa leo hivi kina kemikali mbaya iitwayo "Glucuronolactone", kemikali hatari ambayo ilitengenezwa na idara ya jeshi la Marekani wakati wa vita na Vietnam kwa ajili ya kutuliza mvurugiko wa mwazo wa maaskari wake uliotokana na mauaji ya kinyama waliokuwa wanafanya huko Vietnam.

Kwa sababu ya madhara makubwa ya kinywaji hiki nchi za FRANCE na DENMARK zimepiga marufuku kinywaji hiki na kibatiza jina la "MKOROGO WA UMAUTI". Katika nchi hizi, utafiti uligundua kuwa maaskari wa Marekani waliotumia kinywaji chenye kemikali ya "GLUCURONOLACTONE" waliishia kupata madhara ya maumivu makali ya kichwa, uvimbe wa ubongo na hata ugonjwa wa ini (Migraines, Cerebral tumours and liver diseases). Ni kwa sababu hiyo wamarekani waliacha kuwapa maaskari wao hicho kinywaji katika miaka ya sitini na sabini.

Jambo la kushangaza ni kuwa lebo ya RED BULL inaonyesha wazi kuwa kinwaji hiki kimetengenezwa kwa kemikali hatari ya "GLUCURONOLACTONE"!

Ni kwa sababu hiyo serikali za Denmark na Ufaransa nazo zikapiga marufuku unywaji wa RED BULL. Pamoja na wauzaji wa RED BULL kuweka bayana kuwa ndani mwake mna hiyo kemikali hatari ya "GLUCURONOLACTONE" lebo ya RED BULL hailezi madhara makubwa yanayoletwa na kemikali hiyo.

Madhara ambayo hayakuwekwa bayana kwa mnywaji ni kama yafuatayo:

1. Ni hatari kwa mtu ambaye hafanyi kazi au mazoezi mazito sana kukitumia kwani kina tabia ya kuongeza msukumo wa damu na kasi ya mapigo ya moyo kiasi kwamba mtumiaji anaweza kupatwa na ugonjwa wa moyo.
2. Mtumiaji anaweza kupatwa na ugonjwa wa damu kuvuja ubongoni kwani RED BULL ina kemikali zinazoifanya damu iwe nyembaba ili moyo upate kusukuma damu nyingi bila kutumia nguvu nyingi.
3. Ni hatari kuchanganya RED BULL na pombe ya aina yoyote kwani mchanganyiko wake huwa ni sumu ("Deadly Bomb") inayoathiri musuli za in ila mtumiaji na kuiacha katika hali ambayo haitapona kamwe.
4. RED BULL Ina vitamini B12 kwa wingi, vitamini ambayo hutumiwa kama dawa ya kuwazindua wagonjwa mahututi. Matumizi ya vitamini hii katika watu wazima ina athari za kuleta shinikizo la damu na humfanya mtu ajisikie kama mlevi.
5. Unywaji wa RED BULL mara kwa mara huvuruga mfumo ya neva za fahamu nahusababisha maradhi mithili ya mfadhaiko wa akili usioponyeka.

HITIMISHO::
RED BULL ni kinywaji HATARI SANA ambacho hapana budi kipigwe marufuku katika nchi zote zinazoendelea kwani ni dhahiri kimetengenezwa na kusambazwa ili kiathiri afya za wananchi wasiojiweza wa nchi hizi masikini. Kwa kuwa wengi katika nchi hizi hutumia pombe za kila aina ni wazi kuwa kinywaji hiki kinalenga kuwamaliza watu wetu – kana kwamba ukimwi uliobuniwa na hao wabaya wetu hautoshi!

NI VYEMA TUKAWALINDA WATOTO NA VIJANA WETU LA SIVYO HATUNA WARITHI!
 
Last edited:
Red Bull is banned in Norway, Uruguay and Denmark because of health risks listed on its cans
NA TANZANIA JE????????
 
Hiyo kweli ni kali coz watu kibao wanatumia hiki kinywaji including me, basi kama ndio hivyo hatuponi.
 
Mi nilishaacha kuitumia baada ya kugundua mwili unakuwa abnormal pale ninapoikunywa.
Hii inanidhihirishia kuwa nilikuwa sahihi kuachana na kinywaji hiki.
 
Kwa Watanzania ni fashion na wanajjiona wao babu kubwa kunywa RED BULL
Utakuta mtu anakunywa 3 kwa wakati mmoja yaaaaaaaani ni ujinga mtupu. Wengi wao hasa masista Duu wakibongo hwasomi kwenye hilo Kopo kumeandikwa nini. RED BULL ina madhara sana ni vile wa2 hawajui

Watu wenye upungufu wa Kinga Mwilini ndi wanaotakiwa kunywa na teana wameandika unatakiwa kuinywa ikiwa ya Baridi na ni Moja tu
 
Red Bull pulled in Germany after cocaine test

Authorities say the drug level was too low to pose a health risk

BERLIN - Six German states have told retailers to stop selling Red Bull Cola energy drinks after a test found a trace amount of cocaine.
The bans started Friday after a sample test conducted by authorities in North Rhine-Westphalia state found 0.4 micrograms per liter in the drink.
Five other states also banned it from shops amid concerns over possible narcotics law violations.
Germany's Federal Institute for Risk Assessment said Monday that the cocaine level was too low to pose a health risk. It planned to produce a more detailed report Wednesday.
Red Bull said its cola is "harmless and marketable in both the U.S. and Europe." It said similar coca leaf extracts are used worldwide as flavoring, and a test it commissioned itself found no cocaine traces
More from msnbc.com
 
IT IS ADVISED NOT TO CONSUME RED BULL. IT IS A VERY DANGEROUS DRINK!

As a public health safety, please pass on this email to all the contacts in your address book especially those with teenage children… and make copies to show to all the people you know…

This drink is SOLD in all the supermarkets IN OUR country… and our children ARE CONSUMING IT ON A TRIAL BASIS… IT can be mortal…

RED BULL was created to stimulate the brains in people who are subjected to great physical force and in "stress coma" and never to be consumed like an innocent drink or soda pop. RED BULL IS the energizer DRINK that is commercialized world-wide with its slogan:

'It increases endurance; awakens the concentration capacity and the speed of reaction, offers more energy and improves the mood. All this can be found in a can of RED BULL, the power drink of the millennium.!

'Red Bull has managed to arrive at almost 100 countries worldwide. The RED BULL logo is targeted at young people and sportsmen, two attractive segments that have been captivated by the stimulus that the drink provides.

It was created by Dietrich Mateschitz, an industrialist of Austrian origin who discovered the drink by chance. It happened during a business trip to Hong Kong, when he was working at a factory that manufactured toothbrushes.

The liquid, based on a formula that contained caffeine and taurine, caused a rage in that country. Imagine the grand success of this drink in Europe where the product still did not exist, besides it was a superb opportunity to become an entrepreneur.

BUT THE TRUTH ABOUT THIS DRINK IS ANOTHER THING:

FRANCE and DENMARK have just prohibited it as a cocktail of death, due to its vitamin components mixed with GLUCURONOLACTONE', a highly dangerous chemical, which was developed by the United States Department of Defense during 60 years to stimulate the moral of the troops based in VIETNAM, which acted like a hallucinogenic drug that calmed the stress of the war.

But their effects in the organism were so devastating, that it was discontinued, because of the high index of cases of migraines, cerebral tumors and diseases of the liver that was evident in the soldiers who consumed it.

And in spite of it, in the can of RED BULL you can still find as one of its components: GLUCURONOLACTONE, categorized medically as a stimulant.

But what it does not say on the can of RED BULL, are the consequences of its consumption, and that has forced us to place a series of WARNINGS:

1. It is dangerous to take it if you do not engage in physical exercise afterwards, since its energizing function accelerates the heart rate and can cause a sudden attack.

2. You run the risk of undergoing a cerebral hemorrhage, because RED BULL contains components that dilute the blood so that the heart utilizes less energy to pump the blood, and thus be able to deliver physical force with less effort being exerted.

3. It is prohibited to mix RED BULL with alcohol, because the mixture turns the drink into a "Deadly Bomb" that attacks the liver directly, causing the affected area never to regenerate anymore.

4. One of the main components of RED BULL is the B12 vitamin, used in medicine to recover patients who are in a coma; from here the hypertension and the state of excitement which is experienced after taking it, as if you were in a drunken state.

5. The regular consumption of RED BULL triggers off symptoms in the form of a series of irreversible nervous and neuronal diseases.

CONCLUSION: It is a drink that should be prohibited in the countries of the Caribbean and Latin America, (and the entire world) as it is already waking up other nations because when it is mixed with alcohol it creates a time bomb for the human body, mainly between innocent adolescents and adults with little experience..

SOURCE: Report of. D. KHALET GEBARA, Md, UCLA University, California, the USA
 
Very good Mjasiriamajishupavu for that well educated document. Some people especially ladies consume even 5 cans of red bull per single night
 
A neighbor of mine (lady) consumed only 3 cans and ended up hospitalized for prolonged and excessive bleeding which was quite abnormal. Wanawake msitumie hasa mkiwa kwenye hizo red days zenu.
 
jamaa walivyo na pesa na hivyo business power. Sasa ivi naona wanasponsor F1 car. Haitakuwa rahisi kuwamaliza au kuwashtaki. Pia nadhani watakuwa protected na EU. Lakini ni safi, spread the message. Water remains the best and the safest drink ever! Na kama umechoka, chukua time ulale. Did you know, a person dies quicker from lack of sleep rather than lack of food?
 
Mimi nadhani wangesema energy drinks in general rather kuliko kutaja Red bull pekee.Kuna energy drinks za aina nyingi kama battery,etc na zote zina formula sawa na redbull.
 
hivi hata ukiwa unakunywa mara moja moja? au kila siku? wat if nakunywa nikiwa kwanja(clubbing) namanisha huku unacheza mziki kwa kwenda mbele, ina madhara pia? maana nikiwa mkweli ndio kinywaji chengu kikubwa nikienda club but huwa nachanganya na maji nusu kwa nusu na sinywi zaidi ya mbili.
 
RED BULL Huuzwa katika maduka makubwa (Supermarkets) na madogo (Retail Shops) katika nchi ya Tanzania na watu wazima na watoto wetu wengi wana mazoea ya kunywa kinywaji hiki ambacho kinaweza kusababisha kifo!

Kemikali zinazopatikana katika kinywaji cha RED BULL zilitengenezwa maalum katika maabara za kijeshi za Ma rekani kwa ajili ya kutuliza mzuka wa maaskari wao wakati wakitekeleza mauaji ya kikatili sana dhidi ya wananchi wa Vietnam miaka ya sitini na sabini. Kemikali hizo zilitumikapia kama dawa ya kuwazindua watu waliozirai ("stress coma"). Hazikukusudiwa kutumiwa kama kinywaji au kilevi cha kawaida! Duniani kinywaji hiki (RED BULL) huuzwa kama kitu cha kuleta msismko (Energizer Drink) na matangazo yake yanataja sifa zake kama ifwatavyo.

"Ni kinywaji kinachompa mtu nguvu ya kustahimili na umakini. Humpa mtu kasi ya vitendo" ... na kadhalika.

RED BULL imesambaa katika nchi 100 kwa mpigo (nchi masikini!). Na matangazo yake kuwalenga vijana na watoto, hasa wanamichezo. Hawa ni rahisi kushabikia kinywaji hiki kibaya na kudhurika kiafya baadaye. Katika hali yake ya matumizi ya sasa kinywaji hiki kiligunduliwa na Mjerumani Dietrich Mateschitz ambaye alikikuta huko Hong Kong kikiwa ni mojawapo ya madawa yaliyotumika katika kutengeneza dawa ya mswaki wa meno. Dawa hiyo ilitengenezwa kwa kemikali ambazo zina kafeni na taurini ("caffeine and "taurine). Mjerumani huyo aliona vijana wajinga wa huko wakishabikia unywaji wake akaona mwanya wa kufanya biashara na akafanikiwa kukileta ulaya.

ATHARI ZA KUNYWA RED BULL
Kinywaji kinachotengenezwa na kusambazwa leo hivi kina kemikali mbaya iitwayo "Glucuronolactone", kemikali hatari ambayo ilitengenezwa na idara ya jeshi la Marekani wakati wa vita na Vietnam kwa ajili ya kutuliza mvurugiko wa mwazo wa maaskari wake uliotokana na mauaji ya kinyama waliokuwa wanafanya huko Vietnam.

Kwa sababu ya madhara makubwa ya kinywaji hiki nchi za FRANCE na DENMARK zimepiga marufuku kinywaji hiki na kibatiza jina la "MKOROGO WA UMAUTI". Katika nchi hizi, utafiti uligundua kuwa maaskari wa Marekani waliotumia kinywaji chenye kemikali ya "GLUCURONOLACTONE" waliishia kupata madhara ya maumivu makali ya kichwa, uvimbe wa ubongo na hata ugonjwa wa ini (Migraines, Cerebral tumours and liver diseases). Ni kwa sababu hiyo wamarekani waliacha kuwapa maaskari wao hicho kinywaji katika miaka ya sitini na sabini.

Jambo la kushangaza ni kuwa lebo ya RED BULL inaonyesha wazi kuwa kinwaji hiki kimetengenezwa kwa kemikali hatari ya "GLUCURONOLACTONE"!

Ni kwa sababu hiyo serikali za Denmark na Ufaransa nazo zikapiga marufuku unywaji wa RED BULL. Pamoja na wauzaji wa RED BULL kuweka bayana kuwa ndani mwake mna hiyo kemikali hatari ya "GLUCURONOLACTONE" lebo ya RED BULL hailezi madhara makubwa yanayoletwa na kemikali hiyo.

Madhara ambayo hayakuwekwa bayana kwa mnywaji ni kama yafuatayo:

1. Ni hatari kwa mtu ambaye hafanyi kazi au mazoezi mazito sana kukitumia kwani kina tabia ya kuongeza msukumo wa damu na kasi ya mapigo ya moyo kiasi kwamba mtumiaji anaweza kupatwa na ugonjwa wa moyo.
2. Mtumiaji anaweza kupatwa na ugonjwa wa damu kuvuja ubongoni kwani RED BULL ina kemikali zinazoifanya damu iwe nyembaba ili moyo upate kusukuma damu nyingi bila kutumia nguvu nyingi.
3. Ni hatari kuchanganya RED BULL na pombe ya aina yoyote kwani mchanganyiko wake huwa ni sumu ("Deadly Bomb") inayoathiri musuli za in ila mtumiaji na kuiacha katika hali ambayo haitapona kamwe.
4. RED BULL Ina vitamini B12 kwa wingi, vitamini ambayo hutumiwa kama dawa ya kuwazindua wagonjwa mahututi. Matumizi ya vitamini hii katika watu wazima ina athari za kuleta shinikizo la damu na humfanya mtu ajisikie kama mlevi.
5. Unywaji wa RED BULL mara kwa mara huvuruga mfumo ya neva za fahamu nahusababisha maradhi mithili ya mfadhaiko wa akili usioponyeka.

HITIMISHO::
RED BULL ni kinywaji HATARI SANA ambacho hapana budi kipigwe marufuku katika nchi zote zinazoendelea kwani ni dhahiri kimetengenezwa na kusambazwa ili kiathiri afya za wananchi wasiojiweza wa nchi hizi masikini. Kwa kuwa wengi katika nchi hizi hutumia pombe za kila aina ni wazi kuwa kinywaji hiki kinalenga kuwamaliza watu wetu – kana kwamba ukimwi uliobuniwa na hao wabaya wetu hautoshi!

NI VYEMA TUKAWALINDA WATOTO NA VIJANA WETU LA SIVYO HATUNA WARITHI!
 
Mkuu umeniokoa,

Mie na mama watoto eti kabla ya kunanii lazima tunywe lakini inatupa shida.

Wewe ni kama mtu wa kumi hivi japo umeingia kwa undani. Leo hii hata zile za akiba naenda kuzitupa bora kunywa Gongo la Tarime.

This is a very educative post.
 
Hii kitu nimekuwa nikiipenda sana hasa unapochanganya na Konyagi, Tonic na kipande cha liamao......with ice blocks (rocks) ....Glucuronolactone ina madhara makubwa kama ilivyoainishwa hapo juu

Nimecheck pia wikipedia

[ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Glucuronolactone[/ame]

Inabidi kuachana nayo! kuna watu kwa kutofahamu huwapa hata watoto wadogo....!
 
.
Kwa sababu ya madhara makubwa ya kinywaji hiki nchi za FRANCE na DENMARK zimepiga marufuku kinywaji hiki na kibatiza jina la “MKOROGO WA UMAUTI”. Katika nchi hizi, utafiti uligundua kuwa maaskari wa Marekani waliotumia kinywaji chenye kemikali ya “GLUCURONOLACTONE” waliishia kupata madhara ya maumivu makali ya kichwa, uvimbe wa ubongo na hata ugonjwa wa ini
(Migraines, Cerebral tumours and liver diseases).

Mkuu Gudboy,

Sijui kama ume-copy and paste. Hiyo habari kwa asilimia kubwa na ya kweli ila si yote ni kweli. Na nyie mlioanza kutapatapa kutupa kila kitu hebu subirini kwanza. Labda muende kutupa kila kitu maana hizo friji zenu zimejaa madudu kibao na mengine mabaya kuzidi RED BULL.

France ilikuwa imezuia kuuzwa RED BULL kwa muda mrefu ila walitishiwa kupelekwa kwenye mahakama ya dunia ya biashara na huko wangelipa fedha nyingi sana. Ilibidi wakubali ila kuna chemical moja (nafikiri ni hiyo umeandika) ilibidi iondolewe. Ndiyo maana kama umefika Ufaransa, Red bull ya pale ina radha ya tofauti sana. Wengi wanasema ni mbaya.

Sijui kati ya RED BULL an Coca cola/Pepsi nani ana madhara zaidi. Hizi nazo zinakwangua kila kitu tumboni. Inasemekana hata kutu zinasafisha. CHa muhimu ni kucontrol unywaji wake. Chupa nyingine za hizi Energiser (si red bull tu ila ni zote hizi zinazoongeza energy) zimeandikwa USINYWE ZAIDI YA NUSU LITA KWA SIKU.
Imesemwa tangu siku nyingi kuwa Too much of anything is farmful. Hivyo narudia tena kuwa hizi ukiweza kuziepuka basi fanya hivyo ila ukiamua basi please please usinywe zaidi ya hicho kiwango au chini yake. Unakuta jitu limebeba lita nzima linakunywa...... ngoja wengine tunywe madafu.

USINYWE ZAIDI YA NUSU LITA YA REDBULL KWA SIKU.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom