Recent content by Zorrander

  1. Zorrander

    Looking for Serious Investor kwenye kampuni ya ujenzi (Civil & Building Construction)

    JF wananiambia siwez kuanzisha private conversation na wewe.
  2. Zorrander

    Looking for Serious Investor kwenye kampuni ya ujenzi (Civil & Building Construction)

    Asante sana kwa response. Kuna baadhi ya info naona ni mapema sana ku disclose hapa. Naomba nikutafute chamber wakat na digest ni informations gani naweza kuziongeza hapa kuvutia watu zaidi. Thanks
  3. Zorrander

    Looking for Serious Investor kwenye kampuni ya ujenzi (Civil & Building Construction)

    Natafuta mtu mwenye interest ya kuingia kwenye construction industry. Kampuni ilipata usajili brela 2014, baada ya kuhangaika mwaka mzima 2015 kutafuta miradi hatimae mwaka 2016 kampuni ilianza kupata projects mbalimbali. Tumefanikiwa kupata projects za majengo, barabara, na maji. Projects...
  4. Zorrander

    Ni lipi lenye tija kwa taifa kati ya haya mawili

    Mpaka sasa sijaona mahali popote pale makonda alipozuiliwa kuendelea na vita yake ya madawa na hawa wanaomshutumu swala la kufoji vyeti, ila naona kundi kubwa sana wa watu wanaotaka makonda asiulizwe uhalali wa vyeti vyake kisa!!!?? Inasemekana alianzisha vita ya kupambana na dawa za kulevya
  5. Zorrander

    Rushwa ya ngono

    Huyo mdogo wako anakwambiaga wote wanaomtongoza!!?? Na anaowakubalia!!? Na anaowatamani yy mwenyewe!? Kuna kitu hakiko sawa hapa.
  6. Zorrander

    Toyota mark II gx 110 inahitajika

    Gx 110 inahitajika mara moja. Iwe na no za usajili kuanzia no c au d, millage isizidi km 120,000, rangi yyte tu, isiwe imewah kupata ajali na iwe kwenye hali nzuri. Kuna 8m hapa.
  7. Zorrander

    Wanawake acheni kelele zisizo na ulazima wowote

    Itabidi hicho chumba kijengwe kama club basi kwa kuweka materials zinazo absorb sauti.....hatari sana hii
  8. Zorrander

    Hotuba ya Muammar Gaddaffi ndiyo iliyonitoa machozi

    Sijaona kinacholiza kwenye hii hotuba. Inaelekea watu mna machozi ya mchezo mchezo humu!!!!!
  9. Zorrander

    Majanga: Nimemshika shemeji yangu makalio

    Yaani sijawah kukutana na ushauri hatarishi kama huu. Kwa hiyo akamwambie wife nlimshika mdogo wako masaburi???!!! Hapo ni kukomaa tu tena unaongeza ukauzu balaa, at least watu wanaweza wasimuamini.
  10. Zorrander

    Pombe haina uzoefu (ukizidisha kipimo itakuumbua)

    Hapa umenitatiza kidogo, hii fuso ikoje??!!! au ni daladala!!??? Au hizi za kubebea mizigo???!! Najarib ku imagine familia ndani ya fuso!!!!!
  11. Zorrander

    Simu ya wife

    Umesema amuulize taratibu na kiustaarabu???!!!!! Khaaaa...... Aiseee
  12. Zorrander

    Wanaume wengine ni hasara tu

    Yaani MankaM siku ukimpata mmoja hutaamini ulichokuwa unakosa. Nakuhakikishia wala hatakuomba hiyo ATM, utamuomba mwenyewe aichukue.
  13. Zorrander

    Wanaume wengine ni hasara tu

    Umeshindwa kutumia akili kidogo tu, hicho mlichoshindwa kumpa, huyo mpare ndio anamtitmizia na inaonyehsa anammudu vyema. Unakereka wew wakati ATM katoa mwenyewe???!!!! Mbaya zaidi na hizo mnazojifanya kumtumia nazo anampelekea.........
  14. Zorrander

    Hivi unalijua gari lisilopedwa na watu wengi ulaya?

    Kanapendeza zaidi milango ikiwa wazi, inabidi watafute namna ambayo mtu utaendesha milango ikiwa kwenye hiyo position. Halafu kwann tairi za nyuma wamezifukia????!!! Nafikiri hili nalo linachangia kuharib muonekano wa hii gari
Back
Top Bottom