Looking for Serious Investor kwenye kampuni ya ujenzi (Civil & Building Construction)

Zorrander

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
438
233
Natafuta mtu mwenye interest ya kuingia kwenye construction industry.

Kampuni ilipata usajili brela 2014, baada ya kuhangaika mwaka mzima 2015 kutafuta miradi hatimae mwaka 2016 kampuni ilianza kupata projects mbalimbali. Tumefanikiwa kupata projects za majengo, barabara, na maji. Projects zote ambazo kampuni imewahi pata pamoja na changamoto nyingi ikiwemo (mtaji wa uhakika) zimekamilika successfully na kupata completion certificates.

Kinachofanya nihitaji mwekezaji/partner kwenye kampuni ni nia ya kukuza mtaji, kuangalia uwezekano wa kupata equipments, kuongeza uwezo wa kupata bank facilities ikiwemo bid bonds and guarantees ili kuweza kuwa competitive kwenye tendering na uwezo wa kuperfom projects kwa wakati na kwa faida.

Karibuni sana.
 
Hongera kwa kufanikiwa kuwa na kampuni ya ujenzi. Naomba kufahamu yafuatayo: Jina la Kampuni, Makao Makuu yako wapi, usajili daraja la ngapi na umiliki ukoje kwa maana ya hisa au mtaji wake kiujumla
 
Bro hongera sana kwa hapo ulipofikia

am very interested

Hizo tender za mwanzo ulilipwa 100% na clients?
Vp kampuni inadaiwa kiasi gani na TRA so far?

Naomba kujua kampuni ipo class gani?
Alaf how much capital are we talking about?
At least ungesema aina ya equipments unazohitaji

if not me, then someone else might be willing to invest ukiweka specific info
 
Thanks. Naomba nikupe details in Private messages
 
Bro hongera sana kwa hapo ulipofikia

am very interested

Hizo tender za mwanzo ulilipwa 100% na clients?
Vp kampuni inadaiwa kiasi gani na TRA so far?

Naomba kujua kampuni ipo class gani?
Alaf how much capital are we talking about?
At least ungesema aina ya equipments unazohitaji

if not me, then someone else might be willing to invest ukiweka specific info
Asante sana kwa response. Kuna baadhi ya info naona ni mapema sana ku disclose hapa. Naomba nikutafute chamber wakat na digest ni informations gani naweza kuziongeza hapa kuvutia watu zaidi. Thanks
 
Bro hongera sana kwa hapo ulipofikia

am very interested

Hizo tender za mwanzo ulilipwa 100% na clients?
Vp kampuni inadaiwa kiasi gani na TRA so far?

Naomba kujua kampuni ipo class gani?
Alaf how much capital are we talking about?
At least ungesema aina ya equipments unazohitaji

if not me, then someone else might be willing to invest ukiweka specific info
JF wananiambia siwez kuanzisha private conversation na wewe.
 
Back
Top Bottom