playstore
Member
- Dec 3, 2014
- 36
- 9
Wadau habarini,
Nawaomba msaada kupanua uelewa wangu juu ya swala la rushwa ya ngono. Mazingra yake yanakuwaje kufikia kuitwa rushwa ya ngono iwe kuomba au kutoa?
Ni hivo, mdogo wangu ameibiwa laptop akiwa hostel chuo fulani hapa Tanzania. Amekwenda kuripoti polisi na utaratibu ukafuatwa vizuri na kupatiwa mpelelezi wa kesi yake. Askari mpelelezi ameendelea na kazi yake na mtuhumiwa yuko nje kwa dhamana.
Leo tar 24 januari 2017 mdogo wangu alitakiwa kufika kituoni hpo na akaonana na mpelelezi kisha mpepelezi akamwambia upelelezi umekamilika na kesi itakwnda mahakamani hivyo yeye yani mdogo wangu ambae ndo mlalamikaji arudi chuo atataarifiwa juu ya tarehe ya kufika mahakamani.
Lakini alipotoka yule mpeleĺezi ameanza kumtongoza. Sasa kwakua huyo ndiye msimamizi wa kesi na anaomba mapenzi katika mazingira haya ingawa hajasema straight kwamba akikataliwa hatatoa ushirikiano, je sio kwamba anaomba rushwa ya ngono ili asimamie vizuri kesi ya mdogo wangu?
Naombeni mnisaidie nataka kumwambia dogo aachane na hiyo kesi kwasababu mwelekeo wake nau'dought sana kwa sasa baada ya haya na ushahidi wa kumtongoza upo.