Bora ukosee njia na sio mume
Kwa hiyo unamuonea wivu jamaa?
lady in action mbona unacheka sana mbebez wa ukweeeeiii?
Dada yetu tulimsomesha wenyewe ajabu baada tu ya kupata ajira akaleta mpare mmoja nyumbani eti anataka kuolewa, sasa tangu aolewe hajui ATM inafananaje wala ina rangi gani jamaa kateka kadi ya Benk.
Na hata akishachukua hiyo salary yake hampi ata mia hadi sister anatupigia simu kutuomba tumpige tafu, jamani kweli huu ni ungwana?
He he he!
Mkuu kumsaidia ni wajibu wako kama ndugu kwa kile kiasi Mola alichokujalia ila nakushauri swala la kuingilia mapenzi yao wacha kabisa,,,
Usiingilie mapenzi ya watu we mzushi ,tafuta wako nawe
Hasara ni huyo dada yenu..
Huyo dada yenu mpole sana
ha ha ha ha!!! uwiii
Yaani MankaM siku ukimpata mmoja hutaamini ulichokuwa unakosa. Nakuhakikishia wala hatakuomba hiyo ATM, utamuomba mwenyewe aichukue.