Recent content by Zola7

  1. Z

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji battery ya sony S35. Over
  2. Z

    Mwenye kufahamu hili anisaidie inatokana na nini

    Kama umemdhulumu mtu kitu chake au kama uliokota kitu hali ya kuwa unajua mwenyewe na hukumrejeshea fanya hivyo na uomba msamaha.
  3. Z

    Rais Magufuli kafanya mengi mazuri na makubwa, lakini vitakavyomuangusha ni vile vidogo vidogo na anavyovidharau

    Kwa kuongezea tu. Awamu ya tano imekuwa na unyanyasaji mkubwa wa vyombo vya habari. Kufungiwa kwa magazeti yenye mtazamo tofauti na yeye,Ukandamizwaji kwa wanablog, kesi dhidi ya wapinzani wake, sera ya kutumbua majipu na udhalilishaji, Kesi za kubambikiwa. Ukabila katika teuzi zake. Yote hayo...
  4. Z

    Nasikia kuna sabuni ya kuogea ya maji; naomba kujua inatumikaje?

    Kwa wale wenye masink makubwa ya kuogea. Unajaza maji yako ndani ya hilo sink, unaweka sabuni yako, unaingia ndani ya hilo sink unaonga ukiwa umekaa. Ukitosheka kukaa humo unayafungulia yanatoka unajisuuza na kumaliza kuoga kwako. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Z

    Ushahidi wa wazi, Virusi vya Korona vilitengenezwa na wachina, China ina deni kubwa kwa dunia!!

    Habari zenu jamanii. Covid 19 imezalishwa na Marekani , China amekuwa muhanga wa janga hili. Bill gate ni tajiri mkubwa duniani ni mfanyabiasha anawezaje kuitangazia Dunia kuwa Africa itapigwa vibaya sana na corona? Ameweza kuyasema haya kwa ujasiri mkubwa kwa sababu yeye ndio msimamizi...
  6. Z

    Kama hali ya corona Africa ni hii na Tanzania tuna wagonjwa 20 basi ni kweli tinaishi Eden

    Maabara ni moja nchi nzima unategemea kupata idadi ya maambukizi kupitia wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Z

    Mtoto kukutwa na kidonda angali tumboni mwa mama

    Pole sana mimi kwa hayo magumu unayopitia. Mimi sio Dr wala sio mganga . mimi nimepitia matatizo yanayofanana ba hayo ya kwako. Naomba unitafute nikueleze nilivyo overcome the situation. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Z

    Nahisi dada wa kazi ana hisia na mume wangu

    Huenda mr wako ameshapita happ ndio maana anakujibu kwa kujiamini Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Z

    "Mficha Uchi hazai". Nimeamua kuja kupasua jipu

    Umepima coronavirus? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Z

    Hata kukucertify uchumba bado ushakua kero daah

    Mzee unatatizo gani? Hujui kupendwa wewe ndio maana umekimbilia kuandika upuuzi huu.
  11. Z

    Simuelewi huyu mwanamke

    Mwanaume kulala saa 12 jioni ni Umama ndio sababu ya kuamua kuachana. Jiongeze usirudie kosa hilo.
  12. Z

    Wakati wowote kuanzia sasa Watanzania wataanza kufukuzwa Kenya. Mshahara wa dhambi ni mauti

    Aisee upo sawa kabisa na mfano nzuri ni kitendo cha jana harambe stars kuipa taifa stars kipigo cha paka mwizi.
  13. Z

    Wakuu Niko Zanzibar nahitaji fridge

    Kwanza unataka kwa ajili ya matumizi gani? Na zenye ukubwa gani? Sehemu ya kuzipata ni malindi msikiti wa Ijumaa, magomeni, na njia yote hiyo inayokwenda Amani kuanzia mwembeladu.
  14. Z

    Kwa dalili hizi nimuone Dokta gani na nichukue kipimo gani?

    Kuna mama mmoja yupo Chanika anaweza kukusaidia kwa kutumia dawa za mizizi.
  15. Z

    Tunaposema maendeleo ya watu badala ya vitu, msikilizeni boss wa IMF, Christine Lagarde

    Tunajengewa treni ya kisasa wewe tusubiri kwanza.
Back
Top Bottom