Hujavaa viatu vyangu kiongoz
Huyu bint kiukwel asipoangalia,..itakula kwake
1.anataka kiila weekend aje kwangu ijumaa aondoke j3 hata sipumui kiukwel
2.nkimwacha nyumban nakuta kapekua kiila kona af alivyo 0 brain hata kurudisha vzur hawez
3.tumekubaliana mambo ya sim kila mtu na yake ila yeye nikiacha sim dk mbil nakuta kaishika yani..anazuga et anapiga selfie yake camera uwezo mdogo
4.na mambo mengne meeng yanakera
Well,kilichofanya niandike uzi ni hiv nmemdanganya nmesafir kikaz mwez mzima,cha ajabu et anasema anataka aje hukohuko et tukae wote ,yuko serious had ugomv yan,najua anataka kuthibitisha tuu ni kweeli
Hiv mwanamke wa hiv kwel si balaa hil,(bom,linasubir kulipuka hili)
Uzi tayar.
Huyo mwanamke sio balaa kama hauna kona kona,ila ukiwa nazo lazima atakuwa kero balaa.Inaonekana kashakuona huna utulivu kwahiyo anataka kuprove,maana kwanza umeanza na bit la simu zenu kutokuchunguliana,hapo tayari kashaingia mashaka na wewe...Huyu bint kiukwel asipoangalia,..itakula kwake
1.anataka kiila weekend aje kwangu ijumaa aondoke j3 hata sipumui kiukwel
2.nkimwacha nyumban nakuta kapekua kiila kona af alivyo 0 brain hata kurudisha vzur hawez
3.tumekubaliana mambo ya sim kila mtu na yake ila yeye nikiacha sim dk mbil nakuta kaishika yani..anazuga et anapiga selfie yake camera uwezo mdogo
4.na mambo mengne meeng yanakera
Well,kilichofanya niandike uzi ni hiv nmemdanganya nmesafir kikaz mwez mzima,cha ajabu et anasema anataka aje hukohuko et tukae wote ,yuko serious had ugomv yan,najua anataka kuthibitisha tuu ni kweeli
Hiv mwanamke wa hiv kwel si balaa hil,(bom,linasubir kulipuka hili)
Uzi tayar.
Atleast i've got someone who knows how to advice someone in right wayShe is the right woman to you brother, Trust me.
USHUHUDA: Kuna rafiki yangu alikuwa na utoto mwingi sana kwa wanawake yaani yeye anaweza kulala na mwanamke mara moja tu then harudi tena , Mbaya zaidi alikuwa anawapeleka kwenye nyumba anayoishi. Kuna binti mmoja alikuwa rafiki wa wale wasichana aliowagegeda nadhani alisimuliwa habari za mshikaji na rafiki yake. Hivyo binti alifanya juu chini akabahatika kugegedana na msela . Kama bahati na mimba ikanasa siku hiyo msela alikuwa anapenda sana watoto basi baada ya miezi minne binti akahamia mazima kwa msela.
Binti alijifungua mtoto wa kike shida ipo kwa mshikaji kuvumilia kukaa siku mbili bila kugegeda hawezi so anajikuta halali ndani kuanzia ijumaa hivyo anarudi nyumbani kwake juma tatu asubuhi kwa ajili ya kujianda kwenda kazini. Siku moja binti alinifata na kuniambia kuwa shemeji unajua maisha ya sasa hivi kupata mwanaume akuachie kodi ya meza kila siku na kukuweka ndani shida sana inafika hatua kuna wengine wakipata hizi nafasi hawapo tayri kuziachia hivyo wapo tayari hata kuroga.
Turudi kwenye mada yako huyo binti ninavyo hisi yupo kama huyu wa rafiki yangu anaamini amekupata mtu sahihi hivyo hayupo tayri kukupoteza kwa gharama yoyote ile. Hivyo tulia usimtie jaka la moyo mtoto wa watu.
Au la nawe ukihisi haupo tayari kwa mahusiano ya aina huyo njia nzuri ni kumuacha aende kuliko kumtesa hali yakuwa unajua abisa she is not a woman of your dream. NUKTA.
[/QUOTEt
Sio msumbufu tatizo people are so judgemental..sasa ili yasinikute hayo sitakagi kabisa..mie hadi marafiki zangu wananilalamikia siendi makwao..bora waje kwangu au tukutane sehemu basi ....lawama za kijinga sitaki.Labda wewe msumbufu [emoji23]
Ha ha ha hamna sio issue ona kama hivyo umemchambua dada wa watu kama karanga...nikikaa kwangu inatosha tu.Wew una ishu zako usisingizie..
Kumwacha ndo mtihan hapo sasa,namwonea huruma,nkimzinguaga kdogo tuu analia,sasa kuacha ndo itakua balaa..i feel guiltyShe is the right woman to you brother, Trust me.
USHUHUDA: Kuna rafiki yangu alikuwa na utoto mwingi sana kwa wanawake yaani yeye anaweza kulala na mwanamke mara moja tu then harudi tena , Mbaya zaidi alikuwa anawapeleka kwenye nyumba anayoishi. Kuna binti mmoja alikuwa rafiki wa wale wasichana aliowagegeda nadhani alisimuliwa habari za mshikaji na rafiki yake. Hivyo binti alifanya juu chini akabahatika kugegedana na msela . Kama bahati na mimba ikanasa siku hiyo msela alikuwa anapenda sana watoto basi baada ya miezi minne binti akahamia mazima kwa msela.
Binti alijifungua mtoto wa kike shida ipo kwa mshikaji kuvumilia kukaa siku mbili bila kugegeda hawezi so anajikuta halali ndani kuanzia ijumaa hivyo anarudi nyumbani kwake juma tatu asubuhi kwa ajili ya kujianda kwenda kazini. Siku moja binti alinifata na kuniambia kuwa shemeji unajua maisha ya sasa hivi kupata mwanaume akuachie kodi ya meza kila siku na kukuweka ndani shida sana inafika hatua kuna wengine wakipata hizi nafasi hawapo tayri kuziachia hivyo wapo tayari hata kuroga.
Turudi kwenye mada yako huyo binti ninavyo hisi yupo kama huyu wa rafiki yangu anaamini amekupata mtu sahihi hivyo hayupo tayri kukupoteza kwa gharama yoyote ile. Hivyo tulia usimtie jaka la moyo mtoto wa watu.
Au la nawe ukihisi haupo tayari kwa mahusiano ya aina huyo njia nzuri ni kumuacha aende kuliko kumtesa hali yakuwa unajua abisa she is not a woman of your dream. NUKTA.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nacheka kama mazuri.....Nimecheka daah,harafu anakuita mume wangu,wakati wewe upo katika mkakati wa kulipua bom...
Wadau mnatoa ushaur mzur..nahis kama siko tayar kuwa nae hivHuyo mwanamke sio balaa kama hauna kona kona,ila ukiwa nazo lazima atakuwa kero balaa.Inaonekana kashakuona huna utulivu kwahiyo anataka kuprove,maana kwanza umeanza na bit la simu zenu kutokuchunguliana,hapo tayari kashaingia mashaka na wewe...
Umenena vyema kiongoz...inabid watu wafaham hili,kuendekeza mapenz sana mwishi wa siku maumiv na unakua umekosa vyote,maisha na mapenz bora uwe 50/50Watu wenye tabia ya kuchunga sana wenza huwa na matatizo ya akili na huweza kusababisha madhara kutokana na wivu wa kupindukia.
Watu wasio na malengo na mambo ya kufanya kwenye maisha huwafanya wenzi kuwa maisha yao na kujikuta wakitaka kufatana kila mahali au kumuwaza mpenzi muda wote; hawana mambo yao. Wenzi wenye mambo yao hutenga muda kwa ajili ya mapenzi. Mapenzi yanakuwa ni sehemu ya mambo na si kila kitu.