Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,096
- 8,199
Atakuwa alishakuchoka siku nyingi.
Mimi sio mtoto na yeye pia, nadhani kulikuwa na sababu maalum ya yeye kufanya hivyo.
Tatizo hamjui mnachokitaka mawasiliano ni ya watu wawili nisipoanza ww pia waweza anza kwa mwenza wako wengine kazi zao haziwapi nafasi ya kuwasiliana mara kwa mara mda wa kazi na mara nyingi vitu vidogo vinawafanya muwaache wapenzi wamaana na kurukia msipopendwa mkizalishwa au kuachwa mnarudi tena nyuma kwa uliyemuacha mwanzo ni jambo la kijinga kumuacha mpenzi wako et kisa hamuwasiliani mchanaKweli humjali, wewe kumpigia simu mpaka utoke kazini ? Ukiwa kazin kunashindikana nini ? Halafu inaonesha ulikuwa huna cha kuongea nae zaidi ya salamu .Bora alivyokuacha unampotezea muda. Mawasiliano ni jambo la msingi katika mahusiano.
Basi mm nimekutana na scenario tofauti kidogo.Nilitaka kujiweka mahali flan nikawa na invest sana muda wangu kimawasiliano.Ila mrembo hata habar hana.Yuko busy vibaya sana.Anasema yy hawez kuahrisha kupumzika wala kufanya kazi ofisn ili a chat na mm.ikifika saa 4 kamil usiku anaingia on bed aisee so una bahatisha bahatisha ile day time mida ya lunch ndo anaweza kujib sms au asbh sana kabla hajaingia kazin pia anaweza akakutumia text au kukujib kama ukimtumia na saa 4 usk kama usingiz haujampitia anaweza akakukumbuka kukuchek kwa text not otherwise.Per day hazizid 6.Kweli humjali, wewe kumpigia simu mpaka utoke kazini ? Ukiwa kazin kunashindikana nini ? Halafu inaonesha ulikuwa huna cha kuongea nae zaidi ya salamu .Bora alivyokuacha unampotezea muda. Mawasiliano ni jambo la msingi katika mahusiano.
Mnatakiwa mpelekwe pelekweOur role as women is to see if a man is happy and put a stop to that nonsense

Mkuu hyo avatar ni wewe?Mpelekee kwake gunia mbili za mkaa uone kama hajakurudia



Achana nae japo atajirudi tu baada ya mda ndio walivyoDaah inakwaza sana, hizi shughuli za kuwekeza kwenye moyo wa mtu ni ngumu
Mbona kama hujaridhika na utumbuaji harakiziulioufanya?..Matokeo yake ni tumeachana, kwa yeye kunilaumu mimi, mimi nimeshafanya kinachonipasa kufanya, maana sidhani kama ningeweza kuendelea kumsumbua mtu anayenitakia usiku mwema saa 12 jioni, na story yetu ya mahusiano ikaishia hapo.
Utoto huuKweli humjali, wewe kumpigia simu mpaka utoke kazini ? Ukiwa kazin kunashindikana nini ? Halafu inaonesha ulikuwa huna cha kuongea nae zaidi ya salamu .Bora alivyokuacha unampotezea muda. Mawasiliano ni jambo la msingi katika mahusiano.