Recent content by zoelife

  1. zoelife

    JamiiForums Tanzania Gerson Vieira kamzidi nini Ndemla?

    Watu wengi hawakuliona hili,jamaa alivyoingia gemu ikabadilika inahitaji jicho la mpira kuona hilo.
  2. zoelife

    JamiiForums Tanzania Uongo unanitesa, je nifanyeje niepuke aibu hii?

    Ukitaka kushinda Uongo. ANZA MAZOEZI YA KUSEMA UKWELI.Tabia yoyote inajengwa kwa kufanya mazoezi ya tabia hiyo kwa muda mrefu.Mwisho wa siku unazoea na hutumii nguvu kubwa kusema ukweli.
  3. zoelife

    JamiiForums Tanzania Maeneo rafiki kwa biashara ya tigo pesa

    Hii biashara kwa sasa imekua haina issue aisee,me mwenyewe nimeifanya na sehemu niliyoweka ni stand ya daladala ila hiyo commission inayokuja dah inakatisha tamaa,ila kuna mtu alinishauri sehemu nzuri ni za masokoni,ambako kuna movement kubwa ya watu
  4. zoelife

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli degree na masters ni useless na waste of time kwa mtu ambaye ana ndoto za kina Bill Gates?

    Elimu ya Tanzania inaongeza umaskini badala ya kuondoa
  5. zoelife

    JamiiForums Tanzania Nani mkali kati ya Joh Makini na Fid Q?

    Wimbo wa Siri ya mchezo wa fid q,ndo ulionifanya nimpe heshima kubwa fid q,na kuheshimu kichwa chake kwa kile alichoelezea humo ndani, tujifunze kuheshimu Bongo za watu na kuzipa heshima inayostahili.
  6. zoelife

    JamiiForums Tanzania Kuna lugha tano za mapenzi, unaijua ya mpenzi wako?

    Five love language -Garry chapman
  7. zoelife

    JamiiForums Tanzania Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

    Hii Nyimbo ya ROMA,si kwa ajili ya kila mtu,ni kwa wale wenye uelewa mpana,kama uelewa wako ni wakisingeli,au wa wabana pua huwezi kuelewa.-""Ni rahisi kumkumbuka Roma mpaka kwa vizazi vijavyo kuliko kuwakumbuka wakata viuono wenu." Sent using Jamii Forums mobile app
  8. zoelife

    JamiiForums Tanzania Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

    "HAKUNA ADUI MBAYA KAMA RAFIKI YAKO MWENYEWE"-FID Q, -sihitaji marafiki naendelea kupata tungo za huyu mtu nazidi kumwelewa
  9. zoelife

    JamiiForums Tanzania Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

    "SIHITAJI MARAFIKI,URAFIKI HAULETAGI MAENDELEO"-FID Q
  10. zoelife

    JamiiForums Tanzania Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

    "MAFANIKIO NI UWANJA WA VITA"ukipata mafanikio jiandae kwa vita,au bora uwe mnyonge tu.
  11. zoelife

    JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz Atoa dukuduku lake Baada ya Kutoa Ngoma Yake ya Kajiandae

    "Malalamiko kibao kama mtoto kambo"-Mwana FA. sipendi watu kila siku ni kulalamika badala yakutafuta mwenzao anafanyaje
  12. zoelife

    JamiiForums Tanzania Nachukia kuwaona wanamuziki wengi wa bongo flava wanapo perform live

    Its better waimbe hayo ma-playback yao inaudhi, wanahitaji wajifunze na kuwekeza kwenye kuimba live,bado sana nyimbo inayoimbwa live unakuta ni tofauti na original song,sasa sielewi live zao,punzi hawana, wanaimba nje ya key aaaaaaghhh
  13. zoelife

    JamiiForums Tanzania Show ya live aliyofanya Diamond nchini Malawi

    I just like his mentality,ukimtukana hajui kuimba live anajipanga akija sasa anakutukana kuwa anajua zaidi,napenda mtu anaetumia matusi anayotukanwa,au udhaifu wake kama ngazi yakumpeleka hatua nyingine.
Back
Top Bottom