Gerson Vieira kamzidi nini Ndemla?

Huyu jamaa ni hamnazo anajifanya mwanasimba kumbe kisamvu united
 
Ni mapema sana kuona ubora wa wachezaji,,
Cha msingi simba imeonyesha viwango tofauti tofauti vya wachezaji,
Simba The Next Level
 
Kwasu !Simba hafungwi kwa Mkapa subiri Township akufunze adab kisha tukuonyeshe kimataifa tunashiriki vipi
Asante Kotoko waliambiwa na kocha wao wasiharibu sherehe ya watu(Simba day)Leo Yale maboko ya Wazambia mmhh
 
MORINGA je?

Moringa himself ha ha haaa
20190806_215341.jpg
20190806_215341.jpg
20190806_215341.jpg
20190806_215341.jpg
 
Kipindi cha kwanza dynamo walifanikiwa kurudi mchezoni lakini baada ya kuingia gerson simba ikarudi kwenye ubora kumbuka kuna wachezaji muhimu lakini huwa hawaonekani uwanjani mfano muzamir yassin
 
Kama unashabikia mpira wa majukwa huwezi kuona ufanisi wa Gerson Vieira Da Silva.

Ingizo lake lilifanya Chama awe huru zaidi kwasababu ukuta wa Simba ulipata “Stability” kubwa na ndio maana ukaona timu ikapata goli 2.

Gerson anacheza kwa maelekezo ya mwalimu na mahitaji husika. Na ndio namna wachezaji wa kisasa wanavyotakiwa kuwa na sio kama vile vitoto vyenu vya Yanga vinacheza na majukwaa. Hizo zama kwa Simba zishapita.

Tairone, lile beki la Kibrazil linautulivu mkubwa sana sana. Shida nnayo iona hana kasi ila ni Kitasa kizuri sana hususani akicheza na beki anaejua kukaba vizuri.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom