Recent content by Zirkzee

  1. Zirkzee

    Nataka kuhama Dsm, nishauri niende Mkoa gani?

    Tanga, maisha yapo nafuu, la muhimu zaidi ni biashara gani uataka kufanya?
  2. Zirkzee

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hayo ni mawazo yako kwamba Sesko ni mshambuliaji wa kawaida.. ngoja tuone bado ligi haijaanza, tutapata majibu yote wakati wake ukifika In shaa Allah
  3. Zirkzee

    Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

    Chumaaa.. goli zuri sana Kenya wanatangulia
  4. Zirkzee

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mengi katika ulimwengu yanayoshika kasi ni dhulma!
  5. Zirkzee

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Amani ni muhimu sana kwa ustawi wa ulimwengu.
  6. Zirkzee

    Chukueni maua yenu

    Haa, makubwa!
  7. Zirkzee

    Tuchanane: Mambo ambayo akifanya mtu aibu unaona wewe!

    Sema wana umoja sana, akikaa mmoja kwenye nyumba au sokon baada ya muda wanakua ni wao tu eneo lote!
  8. Zirkzee

    Tuchanane: Mambo ambayo akifanya mtu aibu unaona wewe!

    Ile ni hina inapakwa kwenye ndevu, ni Sunnah kuweka sio lazima na haihusiani na ufugaji wa majini. Na MUNGU anajua zaidi
  9. Zirkzee

    Tuchanane: Mambo ambayo akifanya mtu aibu unaona wewe!

    Haha, mkuu Wasambaa hata wakutane London kitapigwa kilugha safii kabisa, khabar hawana
  10. Zirkzee

    Tuchanane: Mambo ambayo akifanya mtu aibu unaona wewe!

    Kama hujui kitu bora unyamaze!
Back
Top Bottom