Recent content by zinc20

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Nimemkopesha hela, baada ya kunionjesha tunda kagoma kunilipa

    ni sheeeedah!!!
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Nimemkopesha hela, baada ya kunionjesha tunda kagoma kunilipa

    ha,ha,ha,haaaaaaaaaaa,,,,,,,duh!hatareee
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Ndege mbili za Airbus 320 alizoahidi JK kwa ajili ya ATC

    ha,ha,haaaaa,,,ha,ha,haaaaaaa,ha,ha,haaaaaa,ndugu utanipasua mbavu zangu mieee,nioneee huruma,nimecheka sana,duh!hataree,
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu acheni tu

    chadema ni tamu kama alivyo mtamu mdada huyo hapo,uongo!?
  5. Z

    JamiiForums Tanzania msaada wana jf.

    samahani sana,nimepoteza kadi yangu ATM,ya benki ya DCB,sasa nataka kutoa pesa ktk ATM.kupitia huduma ya m pesa..sasa mwenye uzoefu kidogo na haya makitu naomba anisaidie.
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Msiba wa mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo kikuu SUA

    r tujuze kwanza,rambirambi inakwenda kwa nani,tusijekutuma then ikaingia mifukoni mwa wajanja wanaotumia mwavuli wa msiba kujinufaisha,bytheway,poleni kwa msiba.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Mawela Bar - Sinza majambazi wanakusanya uchakavu

    kwahyo unamaanisha alifanya option mbadala,na ndo maana bado yu salama salimini?
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa maana ya neno gubu

    mamboz,naomba mniambie maana ya neno"gubu"?
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Barua yangu ya uchumba haijajibiwa, umeanza kibomu cha laki mbili, je mahari itakuwaje?

    Mama Mkwe Mtarajiwa, kumbuka Mimi Nimewasilisha Barua Yangu Ya Uchumba Miezi Kadhaa Iliyopita, jibu Langu Bado Nalingoja Ili Nijue Mahari Utakayonipangia Kuitoa, sijamuoa Mwanao Bado, ila Kwa Kasi Uliokuja Nayo. Naogopa,mzinga Wa Laki Mbili. Yaani Hapo Sijaoa Binti Yako. Je,itakuwaje Kwa Siku...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanalichukia jeshi la polisi na si majeshi mengine?

    Ndugu Makamee Mm Ni Raia Wakawaida,hata Jeshi Sijasomea,ila Nilitaka Kujua Kwann Sisi Raia Tunawachukia Sana Hawa Askari Wetu Ambao Wanatulinda Sisi Na Mali Zetu?Tunalala Usiku Na Wake Zetu Na Watoto Wetu Kwa Amani Mpaka Kunakucha Bila Ya Tatizo Lolote.Wewe Unafikiri Bila Hawa Watu,ungeweza Wewe...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanalichukia jeshi la polisi na si majeshi mengine?

    Habari zenu wana JF! Mh yeah, well! Nimekaa chini nikawaza sana nikakosa majibu jinsi wananchi wanavyolichukia jeshi la polisi. Wananchi hawawapendi askari polisi, wanawachukia kupita maelezo, ikitokea askari kapata janga, ndio furaha yao hulipuka na kushadadia kwa maneno ya staha. Wengine...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania francis .p.kingazi.

    katika hali isiyoyakawaida,mtu huyu kapotea ktk mazingira yakutatanisha,hana sura wala physical appearance yake ni undefined,therefore natoa samahani kwa wale watakao taka mimi kuweka picha yake hapa.mtu huyu namtafuta,kwa atakayemuona ama kupata taarifa yoyote ya mahali alipo,atoe ripoti kituo...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Bilionea wa Nigeria amzawadia Tayo $350,000 baada ya kushindwa kuzinyakua $300,000 za BBA Hotshot

    mtoa mada yaani sikuelewi hata kidogo,yaani dah!ITS REALLY A RESULT OF BRN.I SUPPORT IT.
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Bado nitampenda mke wangu hata kama kashagongwa

    ni mke wangu na nimemtolea laki tano za mahari.
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Bado nitampenda mke wangu hata kama kashagongwa

    Ndugu Yangu,haya Mambo Yasikie Kwa Mwengine,yasikukute,yanauma Sana,ila Ndio Hvyo Tena.Huu Ni Ukweli Mtupu,najua Huwezi Amini.
Back
Top Bottom