Bado nitampenda mke wangu hata kama kashagongwa

Bado nitampenda mke wangu hata kama kashagongwa

Yani unamuwacha Kwa Herufi kubwaaa, jee wewe ukifanyaa?

Naomba Mungu nisitoke nje ya ndoa kwa vishawishi vya aina yoyote ile. Lakini ikitokea hivyo aweza kufanya maamuzi yoyote kwa afya yake..!
 
Asilimia kubwa ya wanawake akiwa bado hajazaa libido huwa chini sana . Na akisha zaa kuanzia watoto wawili hali inabadilika na wewe waweza kuanza kulaumu anafundishwa na mashoga au kaanza kuwa malaya!
Inakuwa kama anawashwa vile! Kwahy usijipe matumaini eti ulikua unamshughulikia mara moja kwa wiki kabla hujamuoa na ataendelea na hali hiyo mpk uzeeni!
Mwanaume jiandae kukabiliana na kumridhisha mkeo kwa percent nyingi kwny Kitanda!

Nakubaliana na ww lkn sehem kubwa ya maisha ya mwanadamu inatawaliwa adaptation, vyuoni madingi wengi ni vicheche ukiwauliza wanasema wanapata tabu kilala kitandani bila mwanamke, yani amezoea kua hawez lala kitsndani bila mwanamke pembeni, so haya ni mazoe tu, ss fikiria hali inakuaje kwa upande wa akinama waliozoea kulala huku kakumbatiwa? L
 
Umefanya vzr na pia ujue mkeo mtamu na si sumu useme ni yako peke yako but mkanye aache kuchepuka na wewe pia shughlkia hiyo papuch mpk ipige filimbi... mnaendekeza kazi japo ni muhmu mnasahau wake wamefata nini majumbani kwenu..
 
umejiuliza kwa sababu gani ametembea na rafiki yako au unaishia kusamehe tuu
 
Mpige kitu uyo mwanaume wewe alafu muache uyo mwanamke, ataacha kutombwa na uyo jamaa ataingia kwa mwanaume mwingine
 
hongera,una moyo sana yani unasamehe bila hata kuwasulubisha,kama ingekuwa mimi vibano ambavyo wangepata wasingekuja kunisahau maishani ku.to.mbe.wa mke kunauma wewe.
 
Mke wangu kanisaliti nilipokuwa nipo kikazi katika shughuli zangu nje kidogo ya jiji la Dar.

Taarifa Nimepata Kutoka Kwa Maswaiba Wangu Wa Karibu Na Kwangu Na Wameniambia Mke Wangu Anatembea Na Rafiki Yangu Wa Karibu.

Nilipopata Taarifa Hii Nilimwendea Kitombi Aliyenigongea Mke Wangu Ambaye Ni Rafiki Yangu Wa Karibu Na Amekuwa Muwazi Kwangu Na Amesema Hatorudia Tena Na Mimi Nimeachana Nae For Good.

Ila Akirudia Na Nikapata Harufu Yakuwa Amemgonga,atakuwa Amejipa Kibali Cha Kwenda Ahera.

Nikitumia maarifa kidogo ya kisaikologia nagundua kabisa mleta uzi ni mwongo,vigezo ni kama vifuatavyo...

1/Namna ya uletaji wazo au taarifa anaonekana kabisa hayuko serious

2/Muda aliotuma uzi ni saa 12 jion yaani huu ni mda ambao atakuwa aliibatika kuwahi mapema kutoka kwenye mizunguko ya kutafuta riziki akaamua awapenzikie watu JF

3/ukiangalia vizuri ni kama hakuna uhalisia kati ya hali ya mtoa mada na mada husika.


Ni hayo tu ila kama ni kweli bigup mkuu...
 
haupo serous badala ya kudili na mke wako eti unataka umpige mwanaume, huyu ndugu ana kosa gani?
 
je kama mke kaliwa tigo na wewe hujawahi?

nauliza tu waungwana msinipige mawe
 
Khaaa, baba wakati unaongea na huyo "Mwanamume" hukuwaza hata style moja ambayo mkeo alikunjika? Nahisi ungewaza hata kwa sekunde tu yangekuwa mengine!
 
mkeo Malaya tu,hilo moja umegundua yapo mengi,je unajua kama walitumia kinga au una uhakika jamaa ni mzima?hata jamaa akimuacha mkeo hufikirii bado wengine watapiga?haupo serious haiewez kuwa mkeo siku ikikutokea kwel utaandika vzr
 
mkeo Malaya tu,hilo moja umegundua yapo mengi,je unajua kama walitumia kinga au una uhakika jamaa ni mzima?hata jamaa akimuacha mkeo hufikirii bado wengine watapiga?haupo serious haiewez kuwa mkeo siku ikikutokea kwel utaandika vzr

ni mke wangu na nimemtolea laki tano za mahari.
 
Wanaume walio wengi wanadhani ni wanawake tu ndio wafanyiwe(Yaani wanaume watembee nje ya ndoa na wasamehewe kirahis..Lakini kwa mwanaume kumsamehe mke wake anaona shida) Nakwambia tupo wachache sana! Lakini ukweli ndio huo..Tupo wanaume tunaoweza kusamhe wake zetu..!
Fake story to grab our precious attention.. Huu uandishi sio wa mtu aliyeto*bewa mke wake.. Tuache utoto peleka chit chat.. Damn it!!d
 
Back
Top Bottom