msaada wana jf.

msaada wana jf.

zinc20

Member
Joined
Dec 4, 2014
Posts
25
Reaction score
7
samahani sana,nimepoteza kadi yangu ATM,ya benki ya DCB,sasa nataka kutoa pesa ktk ATM.kupitia huduma ya m pesa..sasa mwenye uzoefu kidogo na haya makitu naomba anisaidie.
 
merry-christmas-desktop-backgrounds-4.jpg
 
Back
Top Bottom