Recent content by Zinadini Mmou

  1. Zinadini Mmou

    Kama Allah mmoja mbona Kurani inasema " Sisi tumemtuma kwenu Mtume aliye shahidi juu yenu, kama tulivyo mtuma (73:15)

    Unaweza ukaijiona umeelewa kumbe haujaelewa, kikubwa kaa darasani na usomeshwe ndio untaelewa kipi kinamaanishwa hapo.! Asante ☝️
  2. Zinadini Mmou

    Rais Samia anayepingwa kwa uzanzibari wake ndiye amefanya makubwa kuliko hao Marais wa Tanganyika

    Hivi umekisoma ulichokiandika au umeandika kwakuwa watu watasoma.? Hacha kumwaga mapambio ata kwenye mambo yanayo onekana dhairi, ni shule za wapi hizo zenye miundombinu Bora, hizo Barbara unazosema zipo wapi.? Tena unasema Kwa msisitizo "zisizo na kawaida" 🤔Ukombozi wa fikra mnahitajika Sana...
  3. Zinadini Mmou

    "University of Southern California Muslim students are praying Jumma (Friday prayer) and non-muslim students made a wall, surrounding them

    Islamphobia inakusumbua.! Tafuta Nani anakuwaga nyuma ya hizo vita alafu uje ufute huu upuuzi wako..🥴😤
  4. Zinadini Mmou

    Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

    Unaweza ukampa hizo pesa zote lakini akatangaza Kwa shoga zake amepata zoba & Na mvuvi kitandani. LOVE IS UNCONDITIONAL
  5. Zinadini Mmou

    Hivi maslahi ya Tanganyika kwenye Muungano na Zanzibar yanatetewaga na nani?

    Wanaosema Zanzibar inapunjwa wachunguzwe akili Zao kidogo, maana kuna vitu vya dhairi Zanzibar wananufaika kuliko Tanganyika, Kwamfano Mzanzibar anaweza kuwa rais wa jamuhuri Ila mtanganyia Kwa Zanzibar haiwezekani, pia tumewaona wazanzibar wengi Tu huku Bara wanamiliki ardhi tena na maeneo...
  6. Zinadini Mmou

    Kauli ya Nape ni ya kukosa maarifa, asaidiwe

    Hoja za kiume kweli kweli...! Tatizo viongozi wote hasa mawaziri na wateuzi wengine wanashindana kumpamba rais ata Kwa vitu visivyo na msingi & maana na ndio changamoto kubwa Kwao kiasi ata akikosea waishia kumpaka Mafuta Kwa mgongo WA chupa wakati ukweli wanaujua...!
  7. Zinadini Mmou

    Kwanini Israel inapewa msaada wa kijeshi/ silaha na Marekani?

    Achana na hizo fikra..! Tumekuwa nunaaminishwa kuhusu ilo Kwa mda sasa.! Ila ukweli 95% ya silaha za maangamizi za Israel zimeundwa Kwa ushirikiano baina ya ya Israel na mataifa mengine mfano Iron dome imeundwa Kwa ushirikiano wa Israel & marekani. Ukiwa na fikra hizo utasema pia wafrika hawana...
  8. Zinadini Mmou

    Kwanini Israel inapewa msaada wa kijeshi/ silaha na Marekani?

    Israel & Saudi Arabia ni nchi zenye ushawishi mkubwa mashariki ya Kati na ata duniani Kwa ujumla. Kwaiyo marekani anatumia hizo nchi mbili kama watch dogs wa Maslai yake na ndio maana licha ya vurugu zote za hamas Saudia ni kama anasita kuonesha msimamo wake...! Wote ni machawa WA marekani...
  9. Zinadini Mmou

    Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Swali Moja Bob kubwa.....! Ukimuona mtu anajudge Sana dini Jua kuna mahali ubongo wake umestack kwenye kufanya tafakuri...! Cognitive discomfort.
  10. Zinadini Mmou

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Hoja zako Hazina mashiko kabisa...!! Na nikiangalia Kwa makini hizi hoja zako, naona wewe ni miongoni mwa wale wanaoamasisha ushoga...!! Betting na ushoga wap na wap...? Je Kuna umuhimu wa kujadili mapato na uapatikanaji wake hili hali watafutaji wanapotea...?? NB. Amin unavyo amini Ila usitake...
  11. Zinadini Mmou

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Njaa zitatuuwa wafrika...[emoji26]
Back
Top Bottom