Recent content by zimwilachi2

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Hatimae Nimefanikiwa kugundua njia ya kuibadilisha carbondioxide kuwa mafuta (petroli na dizeli)

    Nilitegemea kuona Chemical formulae za kutosha .
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Hujuma kubwa ajira za Serikali ya wanyonge

    Vumilia mwana, wenzako walimaliza 2016 leo ndio wametoboa.
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Suma JKT wadaiwa kusababisha kifo kwa kutoa kipigo kwa Abdul Ahmed "Bosnia" wa Tanga

    Visomo vinavyofanyika hapa barabara ya 20 karibu na msikiti wa Shia Tanga, hao jamaa watajuta kuja duniani.
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Alhaji Sheikh Ponda: Game Changer kwa kura za Waislamu

    Mi nikijana wa Kiislam nina umri wa miaka 32, Sijawahi kupiga kura hata mara moja na niliapa sitokaa nipige kura. Sheikh Issa Ponda ndio Sheikh wangu baada ya kufariki Sheikh Ilunga (Allah amrehemu). Kutokana na Sheikh Ponda kutaka Waislamu wote tumpigie kura Tundu Lissu basi kwakua yeye ndio...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Oktoba 14: Kumbukumbu ya Kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Imetimia miaka 21 tangu imempoteza Tanzania kifo cha Baba wa Taifa

    Namkumbuka kwa kuwasaliti wapigania Uhuru wa nchi hii(WAISLAMU).
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Tanga usiwe na haraka

    Weka takwimu za UKIMWI tuone.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga, Wahaya na Wanyakyusa ndio makabila yenye nguvu kielimu na uchumi Tanzania?

    Nyinyi si mlimpokea mkoloni ! akawajengea shule. Sisi wengine tulipigana nae kwa hali na mali kudai Uhuru wetu kwanza. Otherwise una jibu lako mfukoni.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani nitamueleza baba mkwe wangu ili niepukane na karaha za kelele zake za kupiga Mswaki?

    Kwa akili yangu naona kabisa mtoa mada ana kitu flani moyoni kuhusiana na mkwe wake! Hiyo miswaki na kelele ni sababu tu.
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Singida: Mkoa mdogo wenye umaarufu unasababishwa na jamii ya Watu wake

    Usisahau kwamba huo ndio mkoa maskini kuliko mikoa yote hapa Tz.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Taifa letu limekumbwa na virusi viwili vya hatari. Kimoja kinaitwa LISSUPHOBIA na kingine kinaitwa LISSUPHORIA

    Bahati yako ni baba askofu, ungekua Sheikh tungekukamata fasta.
  11. Z

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo kuvunja Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?

    Asee uwezo wako wa kung'amua mambo ni mdogo sana. Kenya hatujaungana nao lakini kuna watanzania kibao Kenya na wakenya kibao Tanzania na wanafanya shughuli zao kama lawaida bila kufukuzwa.
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama cha Wananchi (CUF) umempitisha Mussa Haji Kombo kuwa mgombea wa Urais Zanzibar kwa tiketi ya CUF

    CDM nayo ilijimaliza yenyewe kwa kumkumbatia fisadi Lowasa.
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Tanga: Kadi za CHADEMA zagombewa kama njugu

    Lakini hizo sura mbona ni za Kichaga na kipare au vip?
  14. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge wa CCM mpya ni mkakati maalum wa kubadili katiba, Paul Makonda na Alexander Mnyeti ni kishindo kikuu

    Nilipoamka asubuhi ya leo hayo ndio yalikuwa mawazo yaliyopo kichwani mwangu.
Back
Top Bottom