hector
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 217
- 719
Tumemsemea sisi au kamsemea Rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Alhaj Ali Hassan Mwinyi.Jamani Mh. Rais kasema wazi, hawezi ongeza muda, muda wake ukiisha anaondoka zake, kwanini mnamsemea maneno ya uongo, lini Mh. Rais kasema anataka kuongeza muda? Huku ni kuchafuana, acheni hizo plz
Na je katika hierarchy ya wazee wastaafu kuna mstaafu aliyewahi kuwa na rank kubwa na uzoefu serikalini kama rais mstaafu mzee mwinyi.
Mzee think twice.
Yajayo yanafurahisha..inawabidi muwe tayari