Zanzibar 2020 Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama cha Wananchi (CUF) umempitisha Mussa Haji Kombo kuwa mgombea wa Urais Zanzibar kwa tiketi ya CUF

Lipumba ni mtu mbaya sana kwa siasa za upinzani nchi
unayemuona wewe nikiongozi mzuri na yupo kwa maslah ya wtz ni nani mana kuna mwaka mlituambia tumchague slaa ss hivi hafai kisha mwaka mwingine mkatuletea lowasa sasa hafai kwa hiyo nyinyi akiwa kwenu ni mzuri akitoka kwenu hafai
 
Cuf ilisha jifia kitambo na mjiite tu kuwa ni ccm b

hujajibu swali ila km cuf ni ccm b basi hata chadema ni ccm b kwani inakazi ya kuchukua mapandikizi wa ccm kisha ikawataka watu wa wachague mfano huo wa slaa na lowasa na hata uchaguzi huu yupo mtu wa ccm mtamsimamisha agombee wajinga ndio waliwao
 
Sina muda wa kuhangaika na ccm b
hujajibu swali ila km cuf ni ccm b basi hata chadema ni ccm b kwani inakazi ya kuchukua mapandikizi wa ccm kisha ikawataka watu wa wachague mfano huo wa slaa na lowasa na hata uchaguzi huu yupo mtu wa ccm mtamsimamisha agombee wajinga ndio waliwao
 
Uchaguzi mkuu wa mwaka huu utakuwa na wagombea wengi. Wengine ambao wamekosa mvuto kabisa kwa wapiga kura
 
Tuekeeni picha tafadhali tupate kuwajua hao wagombea, ni haki yao ya msingi kikatiba :)
 
Huwezi kuifananisha chadema na cuf kwasababu chadema ni wafuasi wa bwana ndio, cuf ni wafuasi wa kuhoji kwanza,
Labda unamaanisha CAF..
Siyo hiyo cuf mliyo muuzia Lipumba na yeye akiuza kwa mboga mboga
 
Lipumba hana cha kupoteza kwani waliishafika bei kitambo na wafadhili wake wa ccm.

Hivyo yeye hana hasara ila wale wanaojifanya kumfuata (Blind Followers) ndio mwisho wa siku watajikuta wamebaki na ngozi mkononi huku Lipumba akiwa kishaondoka na nyama yote.
 
Back
Top Bottom