Juliusmujungu
Senior Member
- Mar 21, 2020
- 115
- 106
Mama wa kitanga ali mmaliza dingi wangu![]()
We acha tu huwa naumia sana,kama mtu anajijua ame nasa alafu abajirahisisha



Mama wa kitanga ali mmaliza dingi wangu![]()



Dingi ako alijimaliza mwenyewe
Ila imetokea kuwachukia watanga wote kwa tabia zao.
unawaonea mkuuWewe mgoni yaelekea mkuu,l...hahhaahaKatika TANZANIA Same na Mwanga ndiko waliko wanawake wenye mioyo safi.
Narudia tena, ukibisha nenda ujionee.
Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Weka takwimu za UKIMWI tuone.Ndo maana Tanga inaongoza kwa maambukizi ya ukimwi
Mkuu tembea uone maana mkifika Tanga ukiona mtu unadhani Ni mzawa wa hapo,.....
Na swala la ufundi ni aghalabu kumkuta fundi wa kiume hawezi kushona nguo za kike ila ni kawaida kwa fundi wa kike kushindwa nguo za kiume!
Mkuu Kuna mengi mnatia chumvi Sana ndio maana tunagomesha!Tanga napajua mkuu... ...
Kwa kule znz.. kazi kubwa wanayofanya watanga wa kiume ni ushonaji nguo za kike na wengine wana yao pia lipo wazi ..tembea uone
Tanga wageni wapo ila tofauti ipo baina ya wageni na wenyeji utajua tu..kama ilivyo wanapokuwa mikoa mingine..
Na ujuwe licha ya kwamba na wao ni watu wa pwani..basi pia lafudhi yao ni tofauti..wanasema kama jirani zao wa Mombasa!.
Si mgeni na tanga..mimi.mkuu..ila ni wakarimu sana...hunyimwi kitu..labda usijue namna ya kuishi nao!
Mkuu Kuna mengi mnatia chumvi Sana ndio maana tunagomesha!
Sio kwamba nini nimezurula mikoa mingi Sana ila stori tunazopokea wa Tanga sio za kwetu kabisaaa zinaongezewa Sana!!!Kama lipi mkuu?
.labda wewe ni mgeni nao
au ndio vile..wa nyumbani..
Hata hivyo nilichoongea nimechagua sana ....nawajua kwa ghibu mkuu
subiri season uwende znz.. ndio utaelewa naongea nini!
Sio kwamba nini nimezurula mikoa mingi Sana ila stori tunazopokea wa Tanga sio za kwetu kabisaaa zinaongezewa Sana!!!
Ngoja tuache tu, maana Kila muwamba Ngoma ngozi atavutia kwakeNimeona...sijahadithiwa...!
Ningeweza kukwambia zaidi ila naishia hapo tu mkuu..
Ila si vibaya kwa wao mana ni hulka yao..
Usiwazie mkuu..kawaida. tu.. kama wagogo na usafi!
Ngoja tuache tu, maana Kila muwamba Ngoma ngozi atavutia kwake
Sio nouma mkuu karibu tena!Na mimi huko ni kwetu pia.. ni Tanzania.. usijali tuko pamoja mkuu..
Pata muda ufike Tanga mkuu maana wazawa tunashangaa kwa hili swala, na ingekua hvyo basi watumishi wa serikali wangechelewa makazini pia ikiwa huduma za kijamii zinachelewa kuanza!
Kazi zote hutegemeana maana kama konda wa daladala akiamka saa 10 ama kumi na moja kuanza shughuli zake ingekua ni vigumu kustahimili bila kupasha mpaka saa 4 unayosemea akipigizana makelele na abiria wake!
Pata muda utafakari unayoongea usilazimishe vistori ulivyosikia kuhusu Tanga viwe ukweli!
Hivi inakuwaje watu wa Tanga wasifiwe uvivu wakati wanalisha machungwa nchi nzima au inalima misukule? Nimeishi Dar matunda huponea kutoka Tanga tena huwa hayaishi, jamani sijawahi kufika tanga mda huu nakula chungwa la Tanga, hapa njombe kila kona ni machungwa ya Tanga.Sasa matunda ya Tanga yanalimwa na Zombies tueleweshane nini maana ya uvivu.
...nishawai ambiwa hiyo habari nilijua utani mkuu Leo nimeaminiTanga ni kati ya mji wa kipekee sana hapa Tanzania.
Watu hawana haraka na hawajali kabisa. Watu hawaendi na muda na they don't care about it. Ukidrive town wanaona shida hata ku-overtake, sababu hana haraka.
Maduka yanachelewa sana kufunguliwa. Na pia yanawahi kufungwa. Watu hawana wivu wa maendeleo kabisa. Hata ukinunua gari lako zuri, watu hawana time nalo. Hawaoni improvement yako na hawajali.
Kila mwanamke unayekutana nae kavaa hijab, ukimuuliza umeolewa anasema hajaolewa. Na anaweza akakupa chochote, muda wowote na kwa namna yoyote. Tanga aisee hakuna haraka. Ukija huku hakikisha haufuati sana ratiba yako.
Life is simple!
Ndio maana mradi wa bomba la mafuta haujaanza hadi leo?Tanga ni kati ya mji wa kipekee sana hapa Tanzania.
Watu hawana haraka na hawajali kabisa. Watu hawaendi na muda na they don't care about it. Ukidrive town wanaona shida hata ku-overtake, sababu hana haraka.
Maduka yanachelewa sana kufunguliwa. Na pia yanawahi kufungwa. Watu hawana wivu wa maendeleo kabisa. Hata ukinunua gari lako zuri, watu hawana time nalo. Hawaoni improvement yako na hawajali.
Kila mwanamke unayekutana nae kavaa hijab, ukimuuliza umeolewa anasema hajaolewa. Na anaweza akakupa chochote, muda wowote na kwa namna yoyote. Tanga aisee hakuna haraka. Ukija huku hakikisha haufuati sana ratiba yako.
Life is simple!



Mimi nikiwa huko nafikiaga mtendele pale chuda road jioni huwa wanakuja watoto watamu sana wa kiarabu kwenye ile hotel