Recent content by zimbwe

  1. zimbwe

    JamiiForums Tanzania Ukawa ikumbuke kutoa elimu kwa mpiga kura ili kuepuka kuiharibu haki yake...

    Habari mpenda mabadiliko.Naomba kutoa angalizo kwako na mjulishe yeyote yule kwamba,"Ninaatambua mhemko ulionao kwa mabadiliko chanya ya nchi yetu nzuri yenye amani,vivutio,maliasili nyingi pamoja na mengi ambayo Mwenyezi Mungu ametujalia kuwa nayo,zingatieni haki yenu ya msingi ya kupiga kura...
  2. zimbwe

    JamiiForums Tanzania Pres. Joyce Banda: My Country takes Lake Malawi row with Tanzania to court (ICJ)

    Sure,lets wait and see.
  3. zimbwe

    JamiiForums Tanzania Entreprenership and Point of no return

    :high5:That's for real,Risk taker always is the life maker.
  4. zimbwe

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    :peace:Mpwa hii ni zaidi ya kuelimika,nimeisoma ilivyo na nimeipenda sana.Yah,cha muhimu kama unavyosema ni kujitoa ilivyo(devotion),isitoshe kwa mafanikio yoyote yale yanakuja kwa staili hiyo.ngoja na mimi nifanye tathmini ya mtaji niingie msituni.NO RETREAT NO SURRENDER...
  5. zimbwe

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    :happy:Mwanajamvi nimependezewa sana na hii idea.Ila nataka kujua kwa nguruwe ambae ni tayari kwa kuuzwa,anauzwa bei gani???
  6. zimbwe

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tsunami kanda ya pwani Afrika Mashariki...

    Omg!!!people should respond +ly to this alert.esp. of coast reg.
  7. zimbwe

    JamiiForums Tanzania Mwanamke na kufika kileleni

    Sio tetesi,ni kweli tena wengine wanajaribu hata kufake aonekane kama ameridhika sasa unategemea huyo mtu atafikaje.Na hiyo yote inatokana na wengi wao wanainterest zao binafsi(wanamambo mengi hawa dada zetu). Halafu pia ni swala la jinsi unavyojitoa kwa moyo mmoja kwa mwenzio.mapenzi ni zaidi...
  8. zimbwe

    JamiiForums Tanzania Lulu na Ngwala ya ukombozi

    Angalieni msianzishe kama lulu jamani.hamjifunzi tu.
  9. zimbwe

    JamiiForums Tanzania How WB and IMF pushed Dar into large-scale mining

    Really it opened me up. We gotta be rude for this govt or otherwise,no destiny.
  10. zimbwe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni kupoteza muda, Tamko lishatolewa na Mtei

    Jamani,as far as things are settled tusiishie kukosoa tu.tusifie pia na mazuri.
  11. zimbwe

    JamiiForums Tanzania Watakaotangaza nia Shinyanga Mjini kukiona

    Terrible,we need to do things in mali way.
  12. zimbwe

    JamiiForums Tanzania Kanumba: Sipigi kura, 2015 nitagombea ubunge

    It's unbelievable jamani jembe langu la ukwee!!!!Anyways we're on the same way bro. R.I.P
  13. zimbwe

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema kuanza maombi ya kufunga na kuomba kwa siku saba

    Yani kabisa,sio udini tu,ukabila pia.hawana busara kabisa hawa watu.wananchi wanatakiwa kuwa na umakini wa hali ya juu ktk kuchagua viongozi wao.mi kuna sehemu naenda nakuta kabisa wanaongea kichaga.utafikiri tanzania ni ya wachaga.
  14. zimbwe

    JamiiForums Tanzania Aptitude test ya ssra imeishia wap wadau??

    Niliapply kazi SSRA wakaniita kwenye interview ya kwanza,tukafanya mtihani kwenye mwezi wa 11 hivi na mpaka sasa kimya.inakuaje hii.
Back
Top Bottom