Bill Clinton aliwahi kuwa Mcheza sinema. Tanzania sasa hivi tunahitaji kiongozi "very unconventional" kuweza kutubadirisha huku tuliko. Inatakiwa tuipe nafasi damu changa ya kutosha na nahisi hapa tumepoteza mojawapo ya damu hizo! Kuthubutu na ushindi wa Sugu nadhani ni chachu ya kutosha kutusaidia kuwapata watu wengi "unconventional".
Mie nawashauri Kina Mwana FA, Kina Mkoloni, na Kina Afande Sele; Watafute vyama vya siasa wanavyoona vinawafaa na wagombee kuingia mjengoni; tunawahitaji mno! Wana mawazo mbadala.