Recent content by zig-zag

  1. zig-zag

    Tigo pesa Haipatikani

    Yaani wakisema tujaze form tuandike balance za mwisho, mie mbona nna b1
  2. zig-zag

    Tigo pesa Haipatikani

    Tigo wanaenda siku ya 3 leo,huduma ya tigo pesa haipatikani.Isije ikawa records zote zimefutika hawajui nani na nani balance yao ilikuwa sh ngapi...
  3. zig-zag

    Huyu mwanamke atanitoa roho

    Negative,Negative the suspect is still in the area,abort the mission over...
  4. zig-zag

    Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

    Wazo kuu ya hili swala ni kubaini wanaokwepa kodi.Sasa itakuwa ni rahisi kubainiwa,kwa sababu record yako ya kulipa kodi ipo,inalinganishwa na mwenendo wa account zako,kama haziendani,wanajua unaibia serikali.Mfano,wewe ni mwajiriwa na ina vibiashara vyako kadhaa,ela zako pia unatunza...
  5. zig-zag

    GE2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

    Kumbukeni baada ya Jecha kufuta matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar.Kumbe ccm walikuwa tayari wamesha print tshirt za kumpongeza Dr Sheni.Hamnaga uchaguzi...mpaka tume iwe HURU.Hiyo ndio risasi ya mwisho ya chichiem.
  6. zig-zag

    Rais Kenyatta: Hatuwezi kuendelea na lockdown

    Huu uzi bora tuuache,maana wakenya hawamo wanachungulia tu.Wakenya wakora,walifuata mwongozo wa WHO ili wapige mpunga.Baada ya hapo,wanafuta Tz wanafanya nini!!? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. zig-zag

    Uganda Gives Kenya 14-Days Ultimatum To Release Confiscated Lato Milk

    Tunakunywa bia Sent using Jamii Forums mobile app
  8. zig-zag

    Kauli ya Rais Magufuli kuhusu kusajili line za simu: Mwanaharakati ampinga na kuiita Tanzania "Fingerprints Country"

    Tatizo hatuna National data base,labda ndo wanataka kuitengeneza sasaivi.Na system za nchi haziingiliani,ndo maana fingerprint kila mahali. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. zig-zag

    Serikali kudai fidia ya ndege kukamatwa. Yasitisha safari za Afrika Kusini kwasababu ya vurugu

    Ndege haifanyi safari moja tuu,inaenda SA inarudi inaenda mwanza mara 2,na bado inaweza kwenda harare siku hiyo hiyo
  10. zig-zag

    Tabora: Ajali ya Ndege ndogo ya U Dream ya Afrika Kusini yaua wawili

    Mamlaka ya Anga yatoa ufafanuzi ajali ya ndege Ndege ndogo ya U Dream ya Afrika Kusini iliyokuwa ikitokea Entebbe Uganda imeanguka leo mkoani Tabora na kuuwa rubani na msaidizi wake wote raia wa Afrika Kusini, muda mchache tu baada ya kupaa angani. Akizungumza na EATV kuhusu ajali hiyo...
  11. zig-zag

    Ufahamu mkasa wa kifo cha utata cha mwanamke wa Isdal ulioishangaza dunia (sehemu ya 1)

    Hizi story zipo non stop,kwenye Crime investigation channel na ID ya Dstv.Ni story za kweli zimetengenezewa movie kama. documentary
  12. zig-zag

    R.A kuchangia Yanga,wakati wafanyakazi wake Hoi

    Washafukuzwa hata kulipwa ni mtihani
  13. zig-zag

    R.A kuchangia Yanga,wakati wafanyakazi wake Hoi

    Mmiliki wa Gazeti maarufu la Mtanzania ndugu R.A,kaichangia timu ya Yanga mil 230,wakati huo huo wafanyakazi wake zaidi ya miezi 8,hawajalipwa hata senti tano ya mishahara.Watu wanajitutumua,kwa jamii kujionesha ila wanaomfanyia kazi wananuka njaa.Its only in Tanzania....Politics everywhere!
  14. zig-zag

    Nikufundishe namna ya kutengeneza NSSF yako mwenyewe

    Tatizo Nssf ipo kisheria...lazima ukatwe...Hiyo ya kibank itakuwa yako binafsi..utajikata mara 2.
Back
Top Bottom