pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,344
Naona kuna watu wanamtumia M7 ujumbe hapa Jf. Wanakwaya wanangoja mkono udondoke. Mwaka wa 2019 Kenya iliwafunika wote kwenye exports zetu ukanda huu, yaani kutia moto vifaranga na kupiga ng'ombe mnada haikusaidia lolote! Wote Tz, Ug, Rw, Burundi wana deficit kubwa kwenye biashara na Kenya. Tunawauzia madawa, sabuni na wao wanatuuzia mahindi, maharage na kamba za makonge. Na bado, viwanda nchini Kenya vinaendelea kuongezeka kila uchao.