Tigo pesa Haipatikani

Hiyo si rahisi hata kidogo sababu ya Back up plans. Halafu huduma nadhani zimerudi
 
Hata T -Pesa ya TTCL karibia wiki sasa haipatikani.

Isijekuwa hujuma baada ya kukataliwa kupandisha bei za vifurushi au ?

Yani wanakera sana.

Inachelewesha maendeleo
 
Haya mamitandao sikuhizi yamekuwa Kama mashirika tu ya wapiga punye.. huku halotel spidi ya internet Kama mtu anaenda kukata roho! Yani wanashindwa spidi hata na mtu anaeenda kuhara!!
 
Back
Top Bottom