Nilitafuta sana jinsi ya kuuliza maswali yangu KUNTU juu ya mada hii naamini leo nimepata sehemu husika;
Mosi, nisikitike kwa kauli ya mwalimu wangu Mwakyembe kwa hiki alichokisema bungeni, nimeshangazwa sana sana.
Pili. Mwalimu Mwakyembe baada ya sakata la Richmond alialikwa na mwalimu wangu...
soma Biblia ndugu, RC wamechakachua AMRI za Mungu, wameodhi mamlaka za Mungu (kusamehe dhambi), kubadili majira ya Mungu, kufundisha mapokeo ya wanadam badala ya neno la Mungu! RC HAWANA TOFAUTI NA WALA ZAKA NA SADAKA za wanyonge hawa wanaolalamika humu!
Hayo unayofanya si maagizo ya Mungu (Malaki 3:8-10). tatizo ni kutojua ukweli, tafuta maarifa ya Mungu utapata neema yako, kutoa Sadaka na Zaka ni agizo la Mungu kurudi kwake aliyekupa, hutumika kulipa wachungaji (walawi kiBiblia) na kueneza injili ya Kristo na kusaidia wahitaji. karibu Seventh...
Nioneshe sehemu iliyoandikwa maneno hayo ndugu! Yesu alimshinda shetani kwa kutumia agano la kale, na agano la kale ndo ina ahadi za parqdiso ya milele (Isaya 58-66)
wewe ndugu kabla huja fanya uamuzi wowote chukua Biblia ako soma MWANZO hadi UFUNUO utafunuliwa yakupasayo kufanya! kanisa haliwezi kuwa la Tz tu halafu mtu unasema unamwabudu Mungu wa Mbingu na dunia! pia AMRI za Mungu ni tabia ya Mungu, tafuta kanisa ambalo lina sifa hizi uende kusalimisha...
kilimo cha matunda ni kizuri sana, mimi nimeanzisha langu la miembe dodo mwaka jana kama ekari 10 nashukuru Mungu linaendelea vizuri japo kuna wahuni wananingolea miche shambani. watu bhana sina hamu nao, nimetoka kidogo nyuma huku wanangoa..
naombeni tips za kuliendeleza hasa swala la dawa ni...
we mpagani bado, chrismass bado ni la kipagana iwe inaaneikwa x mass au chrismqass kwa Kristo hakuzaliwa tarwhe hyo. ROMAN Katholic ndiye mwaanzilishi nsa ndiye mpinga kristo. beware
wambie tunachagua viongozi tunaowataka siyo wanaowataka wao! wenyewe lini tuliwaambia wachague rais fulan?! SHAME ON THEM you inclusive! maendeleo tutapata wenyewe kwa rasilimali zetu chini ya LOWASA! na pia hao ndo wanatufikisha hapa! mnasema richmond ni ya Lowasa mbona ilibadilika kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.