Julius Kessy
Member
- Aug 14, 2015
- 41
- 3
Raia wengi walioppo mtoni ni watoto wa vigogo na family za ccm so in most cases they cant be positive to changes *** them out we have already decided
Lowassa ana Sifa Zote
Raia wa Tanzania wanaoishi na kufanya shughuli zao nchini Marekani wametuma ujumbe kwa wananchi wa hapa Tanzania wakiwataka kutumia hekima na busara zao katika kuchagua viongozi wenye sifa stahiki ambao pia watakubalika na mataifa ya Ulaya na Marekani.
Aidha wamesema ni vema katika uchaguzi huu tukachagua rais mwenye uwezo binafsi, utendaji uliotukuka, asiye na doa na anaechukia rushwa ili kusaidia Tanzania kupiga hatua za kimaendeleo.
Wananchi hao wameenda mbali na kusisitiza kuwa tunapaswa kuwa mbali na wale wote wenye harufu ya rushwa, tamaa ya madaraka kwani hawafai kabisa, wataturudisha nyuma kimaendeleo.
mtu wa namna hiyo hawezi kupatikana ndani ya chama cha mapinduzi(ccm) labda avue gamba na kuahama chama

na @chris lukosiAkA chilisosinaye alihusika kutoa tamko hilo la uvunguni.Mbona siwaoni hao Raia wenyewe?
Vipi wame declare interest yao?
Wako upande upi?
Malofa au Hapa Kazi tu ya kupiga Madili na Push Up ?
Usije kuta na MMM naye yupo kwenye hilo kundi!
Raia wa Tanzania wanaoishi na kufanya shughuli zao nchini Marekani wametuma ujumbe kwa wananchi wa hapa Tanzania wakiwataka kutumia hekima na busara zao katika kuchagua viongozi wenye sifa stahiki ambao pia watakubalika na mataifa ya Ulaya na Marekani.
Aidha wamesema ni vema katika uchaguzi huu tukachagua rais mwenye uwezo binafsi, utendaji uliotukuka, asiye na doa na anaechukia rushwa ili kusaidia Tanzania kupiga hatua za kimaendeleo.
Wananchi hao wameenda mbali na kusisitiza kuwa tunapaswa kuwa mbali na wale wote wenye harufu ya rushwa, tamaa ya madaraka kwani hawafai kabisa, wataturudisha nyuma kimaendeleo.
mtu wa namna hiyo hawezi kupatikana ndani ya chama cha mapinduzi(ccm) labda avue gamba na kuahama chama
Kama mlilenga CCM hakuna labda mseme tumuchague Daimun Dovutwa hana kashfa!Raia wa Tanzania wanaoishi na kufanya shughuli zao nchini Marekani wametuma ujumbe kwa wananchi wa hapa Tanzania wakiwataka kutumia hekima na busara zao katika kuchagua viongozi wenye sifa stahiki ambao pia watakubalika na mataifa ya Ulaya na Marekani.
Aidha wamesema ni vema katika uchaguzi huu tukachagua rais mwenye uwezo binafsi, utendaji uliotukuka, asiye na doa na anaechukia rushwa ili kusaidia Tanzania kupiga hatua za kimaendeleo.
Wananchi hao wameenda mbali na kusisitiza kuwa tunapaswa kuwa mbali na wale wote wenye harufu ya rushwa, tamaa ya madaraka kwani hawafai kabisa, wataturudisha nyuma kimaendeleo.
Ni magufuli pekee
na @chris lukosiAkA chilisosinaye alihusika kutoa tamko hilo la uvunguni.