Section kuwa na Alphabet ina maana gani? 12A or 12B nk

zethumb

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
610
137
Salaam JF
naomba kujuzwa hapo, nimesahau kidogo ni maana ya kipengele hicho katika sheria
12A or 12B nk inaweza kuwa namba yeyote katika sections..
 
hapo kuna amendment (marekebisho...sina uhakika kama ni neno sahihi la kiswahili) imefanyika..kwa hiyo ili kuingiza kifungu kipya bila kuathiri mtiririko wa awali ..vifungu vipya huwa vinakuwa Hivyo...kwa hiyo ukiona hivyo ujue kuna marekibisho yalifanyika
 
asnte mkuu mpalu
 
Back
Top Bottom