Recent content by ZelePut

  1. ZelePut

    JamiiForums Tanzania Said alimpenda mkewe kupitiliza

    ... huu upuuzi wa mwanamke kujua umempenda kupitiliza wanaume inabidi tuuache, jamaa anaonesha hakuwa anajiamini kwa huyo mwanamke na mwanamke alijua wazi kutojiamini kwake na hakuwa na uwezo wa kuja kuachwa kitu ambacho mwanamke akijua ni sumu mbaya sana kwenye mahusiano sababu atakuwa...
  2. ZelePut

    JamiiForums Tanzania Mwanaume usijimalize kama yule jamaa wa Mwanza, ni ujinga lakini tutaendelea kuelimishana

    Mimi nahangahika kutafuta setting nahisi kuna mahali nimegusa kumbe ni wao wenyewe, mbunifu nani huyu😐
  3. ZelePut

    JamiiForums Tanzania Watanzania msikariri, si kila anayetokea mkoa wa Mara ni Mkurya

    ...sawa ila wanasafirisha kuleta huko huko Musoma na baba Swalha ameshafika kutoa pole. Jambo lenu lipo pale pale.
  4. ZelePut

    JamiiForums Tanzania Hints za kufaulu Oral Interview za Sekretariet ya Utumishi wa Umma

    bongo nyoso bro.
  5. ZelePut

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Simuelewi mama. Nina hasira sana

    wewe una sura ya kike au yeye ana sura ya kiume?
  6. ZelePut

    JamiiForums Tanzania Dereva Halima aliyekatika mkono asema 'Niliona mtu ninayemjua akivuka barabara kabla ya ajali'

    ...hata mimi nilivyokuwa naendesha magari ya magazeti ya IPP Media nshakutana na Mengi(RIP) sababu ndiye alikuwa mkurugenzi mkuu wa kampuni.
  7. ZelePut

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    ...mkiambiwa ukiolewa hadi uhuru wako binafsi unakuwa sio mali yako hamsikii, sisi updates za matokeo ya viburi vyenu kwa waume zenu tutakuwa tunazipata hapa.!
  8. ZelePut

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

    tulia wewe uliwe kiboga na kipensi chako kifupi.
  9. ZelePut

    JamiiForums Tanzania Je hiki kinaashilia nini kwa nguruwe?

    tuachie nyama yetu, hatuoni kinyaa.!
  10. ZelePut

    JamiiForums Tanzania Niko njiapanda: Mwaka wa 3 huu nampa ahadi za uongo lakini hachoki kunihudumia

    ... wiki nayo ni mbali sana sababu tokea siku ya kwanza naomba vitu vyangu ushajua akilini mwako kuwa hutatoa au hutoi sasa ya nini kuzidi kupotezeana muda.
  11. ZelePut

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye Hisense smart TV

    mzigo wa South kwa sasa unaingia kwa speed ya 5G,wa china umekuwa hadimu sana.
  12. ZelePut

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye Hisense smart TV

    Unajua product imetengenezwa wapi.
  13. ZelePut

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye Hisense smart TV

    sahihi, box Jeupe zinatoka China na ndo zinatengenezwa wakat box la khaki zinatengenezwa South Africa under Trademark.
  14. ZelePut

    JamiiForums Tanzania Niko njiapanda: Mwaka wa 3 huu nampa ahadi za uongo lakini hachoki kunihudumia

    .... mijanamke ya hivi ndo ile unakuta ikikuvulia utadhani panya kavunda kwa hiyo inajijua kabisa ikikupa mali utakata umeme. Binafsi yangu mwanamke akizungusha wiki hatoi naachana naye nakata umeme kila kitu naendelea na mambo mengine halafu siku za mbele huwa anakuja kunitafuta mwenyewe na...
  15. ZelePut

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kweli: Boarding ya wasichana, Maisha ya O-level

    ... chai nacho ni kinywaji na tumekubali chai, ulichozingua ni itaendelea yako.
Back
Top Bottom