Msaada kwenye Hisense smart TV

Msaada kwenye Hisense smart TV

1.7milion inch 58 hisense ikikufia hiyo pesa ingefaa iwe mtaji,

Hivi ni brand gani ni imara na inavumilia mikikimiki ta umeme kukatikw ghafla
Subiri wataalam waje zimeshanifia Tatu 3 sina haja nazo tena, Nina Sony flat 40 safi kweli wakati mwingine linasahauliwa linakesha halina tabu kabisa
 
kuna fundi unaweza nisaidia kunitengenezea au na ww mwenyewe ni fund?
Tafuta fundi mwenyewe… humu unaweza pigwa kekundu na keusi sababu ushakuwa na shida.
Na kama warranty bado ni valid wapelekee hisense wenyewe.
 
Yes naongelea kwa uzoefu, sumsung tv yangu ilikufa kwa kuzima shortcut yani mtu unazima ukutani moja kwa moja pasipo tumia remote, unatumia remote halafu unamalizia ukutani, haya mavitu yamepanda bei sana tutumia kwa akili
Hivi zile tv guard zenyewe zinasaidia kupunguza hizo matatizo za hapa na pale?

Maana kuna siku umeme ukawa mdogo, friji na guard yake vikazima. Ila Tv ikawa zake tu on
 
Mimi na Tcl sizimagi ukutani,ngoja nijifunze kuzima ukutani sasa
 
Duhhhh mkuu mbona mnatuchanganya, wengine wanasema box ya kaki ndio nzuri kuliko box nyeupe na kigezo hicho huendana ata na bei zake, maana box za kaki ni bei kubwa kidogo kuliko nyeupe, Kama hutojali hebu tusaidie uzoefu wako katika hili
Na wanachanganya..
Ni kama vile hakuna ajuaye.. ila kuna uzi humu walisema khaki ni the best…

Sasa mengine mie sijui.
 
1.7milion inch 58 hisense ikikufia hiyo pesa ingefaa iwe mtaji,

Hivi ni brand gani ni imara na inavumilia mikikimiki ta umeme kukatikw ghafla
Mimi naamini Samsung ukipata nzuri ni kampuni ya kuaminika sana. Mimi nina Tv ya LED ya Samsung ya tangu 2013 na mpaka leo inapiga mzigo.

Kutokana na fluctuations za umeme, TV yangu lazima iwe connected kupitia stabilizer.
 
Habari zenu,

Naombeni msaada wa kitaalamu,Tv yangu imegoma kuwaka ghafla tu...Inawaka taa nyekundu ya power button,ila ukiswitch On haidisplay chochote!

Kwa anaefamu tatizo,na Cost zake naomba msaada tafadhari.
Inaitwa Standby Mode! Uwezekano mkubwa ni Power supply problem! Fundi acheck Power supply ,TCON Circuit moja wapo itakuwa na tatizo
 
Hapo display imekufa .... inawezekana huizimii ukutani ... hiyo tv yako ni box ipi kaki au nyeupe
How unasema Display imekufa?? Iwapo TV inatoa Sauti lakini Akuna picha hapo unaweza sema Display imekufa! Na ufaji wake utakuwa Power aiendi kwenye hiyo Display. Je Umeme ukikatika TV ikazima ,Umeme ukirudi TV itapata Tatizo kisa ujazima Ukutani?? Sorry Kuuliza Umesoma Electronics wewe??au ni try and error ya Kariakoo??
Hili Taifa la Tanzania kuna Tatizo tena Kubwa sana- Wengi not professional kwenye kazi zenu na hamtaki jifunza - Kifaa cha Electronics iwe TV,Simu n.k Waliodesign ni Graduates! Akiwezi Tengenezwa kikiharibika na asiesomea Ufundi Husika . Watanzania Tusome
 
Bana weee me nina ilo hisense… Ngoja tuone venye litanibariki 😅

Sema ka kitu flame less kanavutia ajabu.

financial services shost hisense yako imeshakusumbua chochote?
Aisee nna ka frameless Hisense Smart TV pia ,tangu nilivoweka nimeweka hakajanisumbua chochote , nna kapenda sana😂😍

Tena nilimuungisha mwana jf mwenzetu humu, yupo vizuri sana👍
 
How unasema Display imekufa?? Iwapo TV inatoa Sauti lakini Akuna picha hapo unaweza sema Display imekufa! Na ufaji wake utakuwa Power aiendi kwenye hiyo Display. Je Umeme ukikatika TV ikazima ,Umeme ukirudi TV itapata Tatizo kisa ujazima Ukutani?? Sorry Kuuliza Umesoma Electronics wewe??au ni try and error ya Kariakoo??
Hili Taifa la Tanzania kuna Tatizo tena Kubwa sana- Wengi not professional kwenye kazi zenu na hamtaki jifunza - Kifaa cha Electronics iwe TV,Simu n.k Waliodesign ni Graduates! Akiwezi Tengenezwa kikiharibika na asiesomea Ufundi Husika . Watanzania Tusome
Huyo mtu sina hakika kama anajua kitu.. nilishamuwekea mashaka tokea amwambie member flani rice cooker 120K, wakati ka kitu ni ka 70K
 
Habari zenu,

Naombeni msaada wa kitaalamu,Tv yangu imegoma kuwaka ghafla tu...Inawaka taa nyekundu ya power button,ila ukiswitch On haidisplay chochote!

Kwa anaefamu tatizo,na Cost zake naomba msaada tafadhari.

Rudisha kwa dealers au mafundi wakubwa, utapigwa tu humu
 
Na wanachanganya..
Ni kama vile hakuna ajuaye.. ila kuna uzi humu walisema khaki ni the best…

Sasa mengine mie sijui.
Wanaodesing hizi TV wapo Makini ni imani tu za sisi Watanzania kuamini hizo mambo! TV zote za Hisense ni Bora kama Aina zingine. Kwa Tanzania Umeme Wetu ndo mara nyingi ni Tatizo kwa Vifaa vya Electronics.
 
Mimi na Tcl sizimagi ukutani,ngoja nijifunze kuzima ukutani sasa
Umeme unapokatika wakati TV ipo ON,Je Ukirudi TV yako aiwaki mpaka upeleke kwa Fundi?? Kisa ujaizima Ukutani??Au toka ununue hiyo TV Umeme aujawai katika Nyumbani Kwako ??Hakuna ukweli katika hili! Ni mawazo tu ya wasiojuwa Electronics na jinsi gani TV inafanya kazi
 
Hapo display imekufa .... inawezekana huizimii ukutani ... hiyo tv yako ni box ipi kaki au nyeupe
Box nyeupe ni mtambo..

48BDB90F-DB48-4B5C-8F66-4D1CAA34B377.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom