Msaada kwenye Hisense smart TV

Msaada kwenye Hisense smart TV

kuna fundi unaweza nisaidia kunitengenezea au na ww mwenyewe ni fund?
Kama warranty card bado iko valid ipeleke Hisense au rudisha kwenye duka ulilonunulia wenyewe wanajua wanachotakiwa kufanya.

Tatizo limeshawahi kutukuta home niliirudisha dukani wenyewe wakaipeleka huko ilituchukua wiki lakini tuliipata ikiwa bora vile vile.
 
Unajua product imetengenezwa wapi.
Mimi kwa mara ya kwanza 2005 niliona products zao South Africa na kutembelea kiwanda chao. Hisense wana viwanda China,South Africa na Ulaya ya Mashariki. Products zao nyingi zinazouzwa hapa Tanzania zinatoka China.Zinazouzwa South Africa 100% zinazalishwa hapo hapo South Africa kutokana na Sheria za South za biashara (South Africa karibia bidhaa zote zinazalishwa locally )
 
Mie nina Hisense tatu nazitumia kwenye biashara ya barbershop. Zinawashwa asubuhi mpk usiku mkubwa. Hazijawahi kuzingua hata kidogo na zina miaka miwili kuelekea mitatu now
 
Yaani unaacha TCL and star x unanua Hisense kwanza vioo vyeupe kama tecnk spark 3 na haya masamsung series za A hazina rangi nzuri

TCL,star x ,evvoll naona best nenda sehemu za betting angalia tvs zao zinapiga kazi mpaka saa sita usiku kuanzia asubuhi soma model za pale utakuta star x na TCL sana Saba izo ni tv za kazi bwana
 
Sema hizo star x na tcl ni tv za bei ndogo ndo maana wanazikimbilia.
 
Sema tv za bei ndogo ndo maana wanazikimbilia.
Hazina mzuka lilinifia hilo sina hamu nalo Kila mtu anayo wachina sio kuamini labda zile model za miaka 2016 kurudi nyuma ila hizi mpya sitaki kabisa

Ishu lg ,Sony , Samsung ,Panasonic na wajanja zaidi wanaenda mtumbani
 
Tafuta fundi mwenyewe… humu unaweza pigwa kekundu na keusi sababu ushakuwa na shida.
Na kama warranty bado ni valid wapelekee hisense wenyewe.
Ndugu mtoa ushauri hiyo avatar yako sasa 🥲
 
Mimi naamini Samsung ukipata nzuri ni kampuni ya kuaminika sana. Mimi nina Tv ya LED ya Samsung ya tangu 2013 na mpaka leo inapiga mzigo.

Kutokana na fluctuations za umeme, TV yangu lazima iwe connected kupitia stabilizer.
Umenena ukweli halisi kabisa, hakuna ninapowaamini Samsung Company kama kwenye TV na Friji, ila kwenye miziki, smart phones mmmh.....
 
Mimi kwa mara ya kwanza 2005 niliona products zao South Africa na kutembelea kiwanda chao. Hisense wana viwanda China,South Africa na Ulaya ya Mashariki. Products zao nyingi zinazouzwa hapa Tanzania zinatoka China.Zinazouzwa South Africa 100% zinazalishwa hapo hapo South Africa kutokana na Sheria za South za biashara (South Africa karibia bidhaa zote zinazalishwa locally )
mzigo wa South kwa sasa unaingia kwa speed ya 5G,wa china umekuwa hadimu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom