Kwamba vigezo na masharti kuzingatiwa hivi B ya hesabu inaonekana kitu rahisi sana eeh, kazi za kawaida hizo hata fomu 4 anatosha kuzifanya tu. mshahara wa 300K kwa kweli mtakuwa mnamkandamiza
Sheria namba moja usilale kwa mwanamke hata siku moja, fear women bro! Kuna wengine wako maofisini kabisa wana maisha mazuri lakini wanaume ndio wana walipia kodi, unaweza kuta anatembe na mume wa mtu uwa anaibuka mara moja moja anapiga mzigo ndio anaenda kwake. Usijaribu kabisa kulala kwa...
Na ndio ukweli wenyewe hata uoe kwa matajiri bado manyanyaso ya kisaikolojia yatakuandama tu kwa sababu hauprovide chochote!! Lakini kiuhalisia mnufaika zaidi wa ndoa ni mwanamke, mwanaume ukishaoa unakuwa unahudumia familia 3 ya kwako, nyumbani kwenu pamoja na ukweni kwako! ndio maana kuna...
Poleni sana wa kamaria betting sio kitu rahisi cha msingi usicheze kwa tamaa sana, then ukipata faida itoe kabisa kapeleke bank huko iwe akiba yako au kaongeze kwenye mtaji wako!
Option mbaya kuliko zote ni direct wine tena wakati mwingine inakuwa na odds kubwa lazima ikuvutie sana, pia kizuri...
Hakuna mteja msumbufu, kumbuka unataka pesa yake naye pia anataka kujilizisha! nishanunua online kuna kipindj unakuwa unasita fikiria bidhaa ya million unadhani hautakuwa na maswali mengi,? lkn sasa hapo mtoa huduma ndio anapokuona msumbufu!
Generation Z mna matatizo sana, me nimetoa ushauri maana kata aliyopangiwa iko jirani kwa wanaojua shule ya Majengo secondary ofisi ya kata ilipo na Kwa Mtei wanajua ukaribu huo! me nimetoa ushauri sasa we unaanza kuleta habari za sijui nisubiri Dar au Moro!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.