Kam bado hujasubmit rudia kuijaza ile sehem uliyokosea yan kipengel ulichokosea sio kuedit jaza upya alf save utaon mabadiriko kweny review
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa siwez kutoa jibu la uhakika ila nazan nao wanajua kwamba walitoa tangazo lenye mkanganyiko kidogo..cha msingi kuomba Mungu watumie busara katika kupitia maombi yetu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Una apload transcript results af unakuta kwenye review wameandika grade A certicate hawa wako timamu kweli...huu mtandao wao sijui vip yani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaapload wew ni wenyew wameweka pia hata mimi wameweka wakt sijaapload inshort hawa jamaa ni wababaishaji na huu mtandao..
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.