Recent content by Ze showstopper

  1. Ze showstopper

    KERO Huduma ya tiGO Pesa Mastercard kuna changamoto kubwa sana ambayo nimekuwa nikitoa taarifa kwa huduma kwa wateja hawashughulikii

    Hivi pesa uliokua refunded haiwezi ingia direct mpka uwapigie simu au? nna changamoto kma yko apa
  2. Ze showstopper

    Lindi mbona pamepoa sana jamani?

    Pamepoaa sanaa yni mademu wakutongoza ni mabaamedi tu afu kila mtu anataka hao hao, hta wale watoto wa kudanga holaa amna kitu huu mkoa
  3. Ze showstopper

    Msaada: Anayejua chimbo la pampers kwa bei nzuri ya jumla

    T-marc tanzania njia ya bahari beach
  4. Ze showstopper

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kma sio makongo juu basi changanyikeni hii!
  5. Ze showstopper

    Chuo kipi bora zaidi, kwa anaefahamu msaada tafadhali

    Kwa hizo kozi apo hyo ya MoCu ina wigo mpana zaidi wa kuajiriwa
  6. Ze showstopper

    Je, ni kabila gani uliambiwa usioe/ usiolewe nalo na kwanini?

    Usioe kabila ambalo wanawake ndo wana nguvu/mdomo(wasemaji) sana kwenye koo zao afu wanaume wao ni wapole kupitiliza mf. Makabila ya Pwani, Wanyakyusa , Baadhi ya wachaga(machame)
  7. Ze showstopper

    Msaada ndugu zangu dawa ya kunguni

    Kuna dawa flani hivi unga unga wa rangi ya pinki unapakwa kwa kutumia unyoya wa kuku kwny kitanda na godoro aisee hutakuja kuona tena kunguni maisha yako yotee!
  8. Ze showstopper

    Nimeamua kuachana na mwanamke wangu sababu ni mazoea na wanaume

    Wanawake wa kusini hasa songea ndo wanakuaga na tabia hizi
  9. Ze showstopper

    Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

    Apo uchague the lesser evil sasa dawa za hospitali au hzo mambo mwisho wa siku zte zina effects sawa positive na negative ila uhakika shemeji ataenjoy
  10. Ze showstopper

    Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

    Hilo sijui ila bodaboda wanatumia sana huo kwa wake za watu labda uwe unatumia mara moja moja kunusuru ndoa yako
  11. Ze showstopper

    Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

    Kuliko kujiharibu na Operation tafuta vijana wa boda apo mtaani wakutaftie ule mkongo tena ule wa kilemba umridhishe mkeo apo utatumia tu umfurahishe wife mara moja kwa wiki
  12. Ze showstopper

    Mke wangu ni mgumu sana kujishusha

    Hao viburi wataalamu kuifinyia ndani utaomba msamaha ww kwa kosa lake
  13. Ze showstopper

    Mke wangu ni mgumu sana kujishusha

    Ulijua yote hayo na bado ukamuoa huo mzigo wako ubebe tu ila jua tu sonona na presha ndo zitakumaliza uzeeni
Back
Top Bottom