Hivi kuna nini huko?mbona malalamiko mengi sana

Habari wanajamii forums
Nimekuwa muoga kuingia kwenye mahusiano full maana navyosimuliwa huko ni kwa moto maana sijawahi kupata story za furaha,washikaji wananisimulia habari za kutisha na zenye kukatisha tamaa.Hivi huko nini kibaya maana kila kila niyayemuuliza anasema kuna moto unawaka.......Wakubwa hebu nitoeni hofu ili niachane na hizi legacy
Ukikosea kuchagua Sio moto tu Ni jehanamu ndogo
 
Unataka kusema haujawai kuingia kweny mahusian yyte kwanzia umezaliwa mpka saiv??! Means we bado ni virgn boi[emoji81]?
 
Nakupa hii ishi nayo!
20231028_215022.jpg
 
Una victim mindset na unasumbuliwa na matarajio mabaya, wataalamu wa kisaikolojia wakusaidie before hujaingia kwenye mahusiano. Ukiingia kwenye mahusiano na hiyo mindset unaweza kuyaharibu we mwenyewe kwa mikono yako. Utakuwa ni aina ya watu ambao ni wagumu kupendeka na kutwa unajishtukia (insecurities)

Mtu ambaye hajawahi kupendwa akazingua ndio yuko sahihi kujihesabia haki, na ukichunguza vizuri kila mtu alishawahi kupendwa akazingua, kwahiyo ikija muda wa wewe kupokea kikombe cha Karma usishangae, lipia makosa kung'uta mavumbi usonge mbele.

Ila nakushauri subiri ufikishe walau 27 years of age, ukipenda au ukiingia kwenye mahusiano unajua exactly unachokitaka and you won't be Naive. Hapa nazungumzia kama kwa asili una akili, kama huna basi kila la heri ,😅
 
Ushauri pia.....taken
 
Ushauri pia.....taken
Vp na huy

Vipi na mdau anayesema katika wanawake 10.....9 wapo kimaokoto naye anasumbuliwa na hii mindset?
 
Habari wanajamii forums
Nimekuwa muoga kuingia kwenye mahusiano full maana navyosimuliwa huko ni kwa moto maana sijawahi kupata story za furaha,washikaji wananisimulia habari za kutisha na zenye kukatisha tamaa.Hivi huko nini kibaya maana kila kila niyayemuuliza anasema kuna moto unawaka.......Wakubwa hebu nitoeni hofu ili niachane na hizi legacy
Ndoa Tamu, hasa hichi kipindi Cha baridi, halafu uwe na tujihela twa kumfanyia wife surprise za hapa na pale. Halafu ukute mke mwenyewe Ni fundi kote kote yaani jikoni, kwenye kuongea na kipindi mkizima taa.
Mtu unatamani tu muda wa kazi uishe uwahi nyumbani.
 
Vp na huy
Vipi na mdau anayesema katika wanawake 10.....9 wapo kimaokoto naye anasumbuliwa na hii mindset?
Wewe si umesema hujawahi ingia kwenye mahusiano? Sasa experience yako inabase kwenye nini kama sio "kusikia". Huyo aliyesema hivyo yamkini ndicho alicho expireence kwa ground akaja na hiyo conclusion.

Nilichojaribu kusema ni kuwa wewe hujaingia kwenye mahusiano na una matarajio hayo kwanini? Yamkini usipate kama alichokipata mwenzio huko juu. Huyo mmoja ambaye hajakaa kimaokoto unaweza ukambahatisha wewe.
 
😂 haya bana
 
Bwana ee ngoja nikwambie tangu niingie kwenye mahusiano 2022 mwezi wa 4 hadi leo,moto huwa unaniwakia kweli mpaka nataman ungekuwa na jinsi ya kuuzima,ila namshkuru MUNGU naenda kufunga nae ndoa.....
 
Back
Top Bottom