Taasisi wakiapprove ukia
Je Taasisi wakiapprove ukianza kuniate transfer mkuu wa idara akiapprove inakuambia your transfer request is accepted you can now submit to authority approval,ukituma submit inakuletea vacancy in destination already filled maana yake nini?
Nilishindwa kusoma mwaka huu.Marafiki zangu wa ofisi zingine walijiunga CBE kwasababu Tuition fees kidogo,Waliowahi kulipa tuition fees walitamani kuacha chuo ndani ya mwezi mmoja.
Wengine walikimbia mapema walienda Udsm na IAA walikubali kupata hasara ya laki moja ya usajili.waliolipa nyingi...
Ingia Instagram kwenye jamii forum wamepost chuo chako kwenye campus unayofanyia kazi(sina uhakika Kama mtumishi wa cbe).soma comments vipo vitu vingi vimeandikwa vitasaidia kujibu swali lako.
Ulaya ni developed country wasomi walikua wengi kabla ya uhuru na baada,ila Africa, Tanganyika mpaka Tanzania inazaliwa frequency ya wasomi na vyuo ilikua inafanana ni wachache au Kama hakuna,tusijifananishe nao.
Masters na PhD kwa Tanzania vyuo vya kwenda kusoma vipo but vyuo vingine...
Nenda chochote level ya University hizi college za education za biashara utakuja kulia hawajajua maana ya kutoa elimu.customer service inawashinda wasumbfu tu
CBE?Nenda kwenye vyuo vikuu au taasisi za uhasibu utasoma kwa kuheshimiwa utapata elimu nzuri.
CBE bado hakijajipanga kwa huduma zao sio nzuri,ukitaka huduma kufokewa au kufukuzwa au kukatiwa simu ni jambo la kawaida kwao but fanya utafiti kwanza kwa wanafunzi au Nenda chuoni ujifanye Kama mgeni...
Masters kwa vyuo vikuu unasoma bila shida kwa vyuo vya kati vichache vipo vizuri Kama vya uhasibu na vingine,ila chuo Cha Elimu ya biashara maarufu tanzania hawapo serious kabla ya kuomba online kifatilie kwanza usije kwenda kudharaulika bure kwa huduma mbovu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.