Recent content by ze jackal

  1. ze jackal

    Pesa aliolipwa floyd myweather,

    Huwezi kujadili mambo ya pesa bila kuweka tarakimu. Kwa hiyo hii ni ngonjera tu.
  2. ze jackal

    Baada ya kufanya mapenzi, uume wangu hausimami tena

    Moment of silence for ankol's dead penis.
  3. ze jackal

    Mungu huzihifadhi wapi roho za marehemu?

    kwenye kisanduku bubu or simply kibubu.
  4. ze jackal

    Malema amlaumu Zuma na ANC juu ya xenophobia; asema anaona aibu kuwa M-South Afrika

    Naona Malema kakua sasa,maana Enzi zake ANC alikuwa na mdomo mchafu sana. cc:@Hellen Zille
  5. ze jackal

    Historia ya Komandoo Tarimo

    Hapo nilipo-bold ni Colonel ama kwa kimatumbi ni Kanali. Canal ni kitu kingine kabisa
  6. ze jackal

    Lowassa apenyeza mtu serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu cha Ardhi

    Kwani hayo matamko ya wanafunzi wewe yanakuathiri vipi? Kwa hiyo unataka nini kifanyike?
  7. ze jackal

    Picha: Bilionea Dangote akagua ufukwe atakaojenga bandari yake ya kisasa Mtwara

    Kwa kuwa imethibitika Mengi ana historia ya kuanzisha migogoro isiyo na miguu wala vichwa na kuibuka kidedea. Namshauri asijaribu kwa huyu kidume unless anampango wa kurudi kijijini kwao kulima.
  8. ze jackal

    Msafara wa Chenge wadaiwa kupiga risasi hewani kuvuruga mkutano wa Mnyika Bariadi

    Nitakuwa wa mwisho kuiamini hii habari. Huyo Harvard alumni hana historia ya kutumia viroba. Ingekuwa issue ya ufisadi ningekuelewa.
  9. ze jackal

    Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

    Sipendi ligi za kijinga,kama huoni hoja zake potezea.
  10. ze jackal

    Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

    Huo ndo ukweli mchungu. Yawezekana ikawa ndo mbunge pekee toka 1964 aliyewa-inspire vijana wengi zaidi kuingia kwenye siasa kutokana na uwezo wake kujenga hoja nk
  11. ze jackal

    Taarifa ya Startimes na TCRA kuhusu ukweli wa tatizo la ITV na EATV katika Startimes

    Bora mgechagua moja,BIASHARA au SIASA la sivyo mtabaki story tu.
  12. ze jackal

    Hivi vijana wengine mnaharakisha nini kuoa?

    Vijana hudanganyana sana wawapo vyuoni. Lakini kama course yake ni mtaani most wanted,mwacheni!!
  13. ze jackal

    Marekani nayo yaguswa na Tanzania kufungia gazeti la EA

    Kwa hiyo source ya habari wala sishangai. Vyombo vya habari vilikuwa chanzo cha machafuko baada ya uchaguzi huko kwao lakini bado wanalea habari zinazochochea uvunjifu wa amani. Upumbavu wao hukohuko.
  14. ze jackal

    Picha ; inayoonyesha shoga alivyouawa kurushwa ghorofani na kundi la isis

    Kwa hiyo wanawaua mashoga tu,halafu mabasha yanaachwa au hii issue imekaaje?
  15. ze jackal

    Kwanini watu wenye akili sana sio wazungumzaji wazuri?

    Kuna ukweli mkubwa katika hili unajua tunapochangamana na vilaza huwa tunahisi hawatatuelewa maana uelewa wao ni mdogo mno na sisi tupo deep sana so tunaamua kukaa kimya tu kuwa wasikilizaji. Hata hivyo ukimkuta kilaza mkimya huwa wanakuwa vilaza kindakindaki.
Back
Top Bottom