Kipa akipewa Kadi nyekundu, anatoka nje, then inafanyika sub, anatoka mchezaji WA ndani anaingia kipa mwingine .
Kuhusu linesman kumshinikiza refa. mpira ni mchezo WA nidhamu,kitendo chochote cha utovu WA nidhamu refa inatakiwa atoe adhabu,bila hata kushinikizwa, na hilo tukio unalolizungumzia...