Recent content by ZamoyoniParadiso

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kuwa na rais asiyeaminika

    Jifunze kujenga hoja. Hapo unaongea kwa imani. Si sahihi.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania CCM na siasa za man to man,UKAWA na siasa za social networks

    Hahaahhah.. kama ni heartly voters wa magufuli ila hawataki kujionyesha tu. Sasa wewe uliwajuaje na hawataki kujionesha?
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Magufuli waombe radhi Wananchi kuwadanganya

    Halafu pia anakosea kusema "ALIVOTEULIWA kuwa mgombea urais" Mchakato wa kupata mgombea mmoja kupitia NEC ya CCM ni ya UCHAGUZI na sio UTEUZI. Sasa hapa yeye anahalalisha kwamba mwenyekiti alikuja na majina yake mfukoni ndio maana akateuliwa.
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Vijana tunachelewa sana kujitegemea, kuoa na kuolewa, kukwepa majukumu

    Kama jicho ndilo litakalokufanya uukose ufalme wa mbinguni, ling'oe na kulitupilia mbali. Kama una sababu za msingi kisheria na kiroho. Ya nini uteseke miaka yote uliyobakiza hapa duniani. #You Only Live Once, YOLO
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Vijana tunachelewa sana kujitegemea, kuoa na kuolewa, kukwepa majukumu

    Mtu anaishi kwa mipango yake. Kila mtu ana vipaumbele vyake. Kama kuoa ni kipaumbele chako cha kwanza ujue kwamba kwa mwingine kinaweza kuwa cha nne au tano kulingana na mipango yake. Wengine hawana icho kipaumbele kabisa. Kuoa na kuishi kwako mbali na wazazi ni majukumu yanayotegemea...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Nguo mpya za kike zafanyiwa Ibada ya Uchawi

    Nguvu za giza zinahitaji damu. Sasa wanaume hawatoi damu. Labda uwe unaharisha damu au una kichocho.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Je, ni haki kwa Traffic kujificha kwenye bajaji na kumshtukiza dereva?

    Kwani akikukamata kwamba umevunja sheria, utalalamika kwamba alikuvizia? Kosa ni wewe kuvunja sheria na sio yeye kukuvizia. Kwaio mimi naona Haikatazwi taffic kukuvizia! Wewe CHA MSINGI FUATA SHERIA hautapata shida nae hata kama amekuvizia.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kutengeneza soda bandia chakamatwa

    Acha ushamba wako. Kinywaji cha baridi chochote kinafanya meno yaume. Rudi kwenu Nzega ukanywe maji ya kisima!
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kutengeneza soda bandia chakamatwa

    Ilimradi ya baridi.. hahahahaahh
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Tuitafakari kauli hii ya mwanamabadiliko Mh. Sumaye

    Hiyo ni treni ya TAZARA. Na hapo sio Dar ni naeneo ya nyanda za juu kusini. Mbeya, kwamfano. Hiyo ni safu ya milima ya Mbeya "mbeya mountain ranges". Milima hiyo ina vilele kama vile livingstone na loleza. Elimu yako ni ndogo sana. Ni vyema ukajisomea kila siku na kufuatilia habari...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli aihofia timu ya kampeni za CCM

    Kiongozi/mpinzani imara hatangazi UDHAIFU wake hata siku moja. JPM anatangaza udhaifu wa serikali iliopita na pia anatangaza uthaifu wa timu yake ya kampeni. Nadhani anakosea.
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Citizen tv ya Kenya inaonyesha kampeni za Lowassa tu

    Tembelea website ya citizen TV hapa chini ujionee mwenyewe na pia kuna sehemu ya kuwauliza wenyewe wakujibu. http://citizentv.co.ke/tanzania-decides/
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Wafanyakazi mkinichagua nitapunguza P.A.Y.E kutoka 18% mpaka 9%!

    Mimi nakatwa 21%. Kama unalipwa chini ya laki nne, basi unakuwa unakatwa 11%. PAYE inategemea na mshahara wako
  14. Z

    JamiiForums Tanzania NEC yatupa kando malalamiko ya UKAWA

    Kazi ipo
Back
Top Bottom