Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,965
Kaulize na star TV na TBC kwa nini hawatangazi habari za Ukawa inavyostahili!! Mwaka huu mtaimba a e i o u.wana jf
naomba kufahamu kama cetezen tv ya kenya inaripoti matukio ya lowasa kwenye kampeni zake na nikwanini lowasa tu siyo magufuli