Nguo mpya za kike zafanyiwa Ibada ya Uchawi

Mkuu connection na Madhabahu yakishetani haiangalii ni Mwanamke au mwanaume inategemea mwenye hiyo madhabahu anakusudia nini mimi niliwahi kuwa connected... na Roho za kuzimu kupitai jina nililotumia kusajili Line ya Simu cz sikutumia jina langu nilitaabika kwelikweli...hadi nakuja kugundua Nilishapigika sana...ndg acha kabisa kuna watu wameSacfrice kwa SHETANI na wanamtumikia at the maximum ..take care
Mkuu waweza kutusaidia kujua how ulikuwa connected na ulijuaje kuwa uko connected na ulijinasuaje?? Please share ili kutusaidia wengi
 
Mkuu its loong Story ndg yangu...nitasema kwa ufupi tu maana hapa simahali pake....niliwahi kuwa na Bifu na jamaa flan sikumjua vzr kumbe yule jamaa alikuwa mchawi....B4 sijajua habari za MUNGU deeply japo nilikuwa Mkristo lkn sikuwa napata mafundisho yakutosha yanayohusu Mambo ya kiroho nilikuwa naishi maisha yakimtaani zaidi japo nilikuwa Mkristo sasa wachawi wanajua mambo mengine sana....Kwenye ulimwengu wa roho so kupitia mawasiliano ya SIMU akafanya anavyojua akanitengenezea Chuma Ulete kupitia Sauti yangu....Siku ikatokea nikaenda kununua Line ya Simu nikasajili kwa jina ambalo hata Leo ukiniiliza nilipolitoa sina Majibu yake Baada yapo Maisha yalikuwa yanaDrop.....kila siku hali ya Maisha ikawa inashuka bila kujua ikafika mahari nikachakaa kabisa....Ikafika kwakuwa nilikuwa mchanga kiroho nikajichanganya na Waganga asee huko ndio niliharibu kabisa Ikabidi mke wangu akomae kunipeleka Kanisani baada yakuhudhulia mafundisho na Maombi ndio yakaja kuibuka...Unajua Mapepo yakibanwa yanaongea kiila kitu mpaka aliemtuma baada ya hapo nikaambiwa ili niwe Salama khs Uchumi lazima nivunje Line kiukweli baada ya hapo Maisha yamerudi normal nimekwambia kifupi tu bt ni Story ndefu
 
Wala msihofu dada zangu, kristo alisha ushindia ulimwengu hivyo ibilisi na mawakala wake hawana tena nafasi. Iwapo tutaishi kwa kuzishika sheria za mungu hofu na mashaka si juu yetu teena
 
Ngoja nifungue kabati la nguo niziombee nguo zangu, loh.

Nimecheka sana inatakiwa kabla hujazivaa yaani zikishatoka Dukani tu....mimi kuna wakati YF alikuwa anaenda kkoo kununua Nguo za dogo kuna Duka flan liko karibu na Msimbazi Polis tukinunua nguo pale B4 hatukujuaga hiyo habari yakuziombea NGUO a see dogo akivaaa hamalizi wk alikuwa anaumwa sana....Badae Yf ndio akashtukia na mbaya zaidi kuna nyakati alikuwa anapita labda ana mishe zingine akiiona nguo wale watu walikuwa wanishusha NGUO wanamuwekea hata km ni Mwezi baadae ndio tukaja kugundua michezo yao....Kiukweli tunaishi kwenye Dunia yenye matatizo makubwa Unaweza kujikuta unaharibikiwa Maisha bila kujua niwapi ulipopatia matatizo hadi uje kugundua daaaa
 
Aisee, sasa kwa tulizovaa tufanyaje kwa sababu tulikuwa hatujui hili? Sijui binadamu wamekuwaje kwa nini wanapenda vurugu tuuu? Inaogopesha sasa, je mtumba nao ni wa kuuombea?
 
Mkuu....ndio maana unaambiwa Nivzr kumuomba MUNGU kila wakati Km ni msomaji wa BIBLIA soma YOSHUA....1:8..cz tunaishi kwenye Dunia yenye kila aina ya majanga....so kila wakati nikuomba Rehema ya MUNGU tatizo wakristo hatuchukulii Serious kwenye mambo ya kiroho mimi marafiki zangu na ndg zangu wengi ni Waislam zamani nilikuwa siwaelewi kila wanachofanya iwe kwenye CHAKULA...akikaa kwenye KITI au chochote lazima aanze na BISMILAH...yaliponikuta ndio ndio nikajua umuhimu wakumtaja MUNGU kwenye kila kitu ninachofanya Tusichukulie Poa...haya mambo wakati sisi tunalala kuna watu wanakesha kuusimika Ufalme wa SHETANI...kuna Video ya Mhubiri 1 ni Msomali unaweza kuingia YouTube search Mchgj ADAM HAJI utaona ushuhuda wake na Mahubiri yake
 
Ndiyo maana wanawake wanasumbuliwa sana na mapepo.

Ukweli ni karibu viwanda vyote vya mashariki ya kati, China na Japan.

Ombea vitu vyote unavyonunua au kupewa kama zawadi.
 
Mkuu its loong Story ndg yangu...nitasema kwa ufupi tu maana hapa simahali pake....niliwahi kuwa na Bifu na jamaa flan sikumjua vzr kumbe yule jamaa alikuwa mchawi....B4 sijajua habari za MUNGU deeply japo nilikuwa Mkristo lkn sikuwa napata mafundisho yakutosha yanayohusu Mambo ya kiroho nilikuwa naishi maisha yakimtaani zaidi japo nilikuwa Mkristo sasa wachawi wanajua mambo mengine sana....Kwenye ulimwengu wa roho so kupitia mawasiliano ya SIMU akafanya anavyojua akanitengenezea Chuma Ulete kupitia Sauti yangu....Siku ikatokea nikaenda kununua Line ya Simu nikasajili kwa jina ambalo hata Leo ukiniiliza nilipolitoa sina Majibu yake Baada yapo Maisha yalikuwa yanaDrop.....kila siku hali ya Maisha ikawa inashuka bila kujua ikafika mahari nikachakaa kabisa....Ikafika kwakuwa nilikuwa mchanga kiroho nikajichanganya na Waganga asee huko ndio niliharibu kabisa Ikabidi mke wangu akomae kunipeleka Kanisani baada yakuhudhulia mafundisho na Maombi ndio yakaja kuibuka...Unajua Mapepo yakibanwa yanaongea kiila kitu mpaka aliemtuma baada ya hapo nikaambiwa ili niwe Salama khs Uchumi lazima nivunje Line kiukweli baada ya hapo Maisha yamerudi normal nimekwambia kifupi tu bt ni Story ndefu

Just curious... Hilo jina ulilotumia kusajili line ulitumia kitambulisho gani?
 
kuikweli miongoni mwa vitu ambavyo huwa havinitishi kabisa ni ushirikina....labda uongelee kitu kingine

Jf bhana! Mkuu kama utakuwa free niambie tukatembee sehemu flani mida ya kuanzia saa kumi na mbili jioni halafu uje ulete mrejesho hapa! Maana naona unajiamin kupitiliza
 
Back
Top Bottom