Tuitafakari kauli hii ya mwanamabadiliko Mh. Sumaye

Tuitafakari kauli hii ya mwanamabadiliko Mh. Sumaye

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,796
Reaction score
165,538
Akiongea kwenye mkutano wa ufunguzi wa campaign za ubunge wa Jimbo la Ubungo uliorushwa na ITV siku chache zilizopita,mzee Sumaye kuna jambo alidokeza na kuashiria wasiwasi wake juu ya jambo hilo.

Mzee Sumaye alionyesha kushangazwa na pia alihoji inakuwaje bara bara za mabasi yaendayo kasi(DART) zinazojengwa kwa kodi zetu zije zitumiwe tu na mtu mwingine (afanye biashara zake) kwa kupitisha mabasi yake ili hali barabara ni za kwetu?

Je,unafikiri mashaka ya mzee Sumaye yanatokana na nini katika hili?

Naomba waandishi wa habari mkipata nafasi ya kukuta na mh.Sumaye mumuombe afafanue kauli yake hii kwani mimi binafsi(na pengine tuko wengi tu) katuachia maswali mengi kuliko majibu.
 
Barabara ni mali ya umma,imejengwa kwa mkopo toka World Bank,mradi wa usafiri imepewa kampuni binafsi na tena bila ushindani!!

Hoja ni kuwa kuna ufisadi na kama wamempa huyo mtu ambae ni vibopa wa UDA na serikali kupitia Moses Kasena,kwa nini na mkopo asilipe mwenyewe huyo aliyepewa mradi?!!
 
Ninakataa kuamini kama ni kweli linalosemwa hapa. Barabara tujenge sisi halafu mwingine atumie kuchuma hela. Ninaona aibu kuitwa mtanzania 😡
 
Kwani magari yanayopita kwenye barabara za lami niyaserikali pekee? Barabara ya dar mbeya imewekwa lami na hakuna basi la serikali hata moja, yapo hadi mabasi ya wachina yanafanyakazi, hakiyanani miaka kumi ya mkapa hatukuwa na waziri mkuu.
 
Barabara ni ''public utility'' serikali inajenga na wananchi wanatumia sawa na shule hospital na maji.
 
Barabara ni mali ya umma,imejengwa kwa mkopo toka World Bank,mradi wa usafiri imepewa kampuni binafsi na tena bila ushindani!!

Hoja ni kuwa kuna ufisadi na kama wamempa huyo mtu ambae ni vibopa wa UDA na serikali kupitia Moses Kasena,kwa nini na mkopo asilipe mwenyewe huyo aliyepewa mradi?!!

Na kumbuka kuwa mabasi ya UDA ndio hutumika kubeba watu toka sehemu mbali mbali za Jiji kuwapeleka katika mikutano ya kampeni za ccm kuanzia ule wa uzinduzi wa jangwani na inayoendelea sehemu mbali mbali. Sasa kwa stahilk hik ya magufuli kusaidiwa kujazz watu na mafisadi atawezaje kuwashughulikia kama alivyodai?
 
Ninakataa kuamini kama ni kweli linalosemwa hapa. Barabara tujenge sisi halafu mwingine atumie kuchuma hela. Ninaona aibu kuitwa mtanzania 😡
Hivi wewe unafikiria kweli?mbona
Meli binafsi zinatnmia bandari ya ccm
Ndege binafsi zinatua kwenye viwanja vilivyojengwa na ccm
Malori mengi hutumia barabara alizojenga Magufuli nchi nzima?
 
Hiyo picha ya Dar es salaam kweli au changa la macho? DSM kuna mlima mrefu kama unavyoonekana nyuma ya treni inakotokea? Uongo mwingine unatia kinyaa!

Hiyo ni treni ya TAZARA. Na hapo sio Dar ni naeneo ya nyanda za juu kusini. Mbeya, kwamfano.

Hiyo ni safu ya milima ya Mbeya "mbeya mountain ranges".

Milima hiyo ina vilele kama vile livingstone na loleza.

Elimu yako ni ndogo sana. Ni vyema ukajisomea kila siku na kufuatilia habari bila kukosa.
 
Sumaye akiwa PM ni = na 0% aongee nini umuelewe?
 
Hiyo ni treni ya TAZARA. Na hapo sio Dar ni naeneo ya nyanda za juu kusini. Mbeya, kwamfano.

Hiyo ni safu ya milima ya Mbeya "mbeya mountain ranges".

Milima hiyo ina vilele kama vile livingstone na loleza.

Elimu yako ni ndogo sana. Ni vyema ukajisomea kila siku na kufuatilia habari bila kukosa.

Mkuu unaponda wakati na wewe hujui, hiyo ni train ya reli ya kati siyo tazara.
 
Nimepata wasiwasi juu ya wachangiaj wa hii mada, wanataka barabara za serikali zisitumiwe na watu binafsi kuingiza kipato. Sasa katika serikali ya bodaboda na mama ntilie, hao bodaboda watatumia barabara zilizo jengwa na nan? Kama sio serikali ya ccm.
THINK BIG
I think walimaanisha ku monopoly. hembu lijajili kwenye level hiyo , utaelewa alichomaanisha mleta mada na alichokisema sumayi.
 
Kwani magari yanayopita kwenye barabara za lami niyaserikali pekee? Barabara ya dar mbeya imewekwa lami na hakuna basi la serikali hata moja, yapo hadi mabasi ya wachina yanafanyakazi, hakiyanani miaka kumi ya mkapa hatukuwa na waziri mkuu.

Doctor.jpg​

Hujaelewa Hoja. Barabara za Lami tunatumia wote.

Hivi unategmea kuwa utaingiza gari yako katika barabara ya mabasi mwendo kasi?????

Kwa nini zitumike pesa za umma kisha magari ya mtu mmoja ndio yapite??

Kwa nini hawakutoa ushindani wa zabuni ili mchakato uwe huru???

Kama imeamuliwa kuwa UDA ndio wamiliki wa hiyo barabara kwa nini deni wasilipe wao??

Elewa kuwa mara tu mradi huu binafsi ukianza hakuna DALADALA zitakazoruhusiwa kuingia sehemu yenye mradi. Yote yataishia nje ya mji mfano Kimara. Hutoona DALADALA toka Kimara kuja Ubungo au POSTA. Ni mabasi hayo tu yataruhusiwa.

Tafakari ni UFISADI wa kiasi gani huu!!!


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kwani magari yanayopita kwenye barabara za lami niyaserikali pekee? Barabara ya dar mbeya imewekwa lami na hakuna basi la serikali hata moja, yapo hadi mabasi ya wachina yanafanyakazi, hakiyanani miaka kumi ya mkapa hatukuwa na waziri mkuu.
Yanaruhusiwa yote bila kujali kuwa ni kampuni moja na yayalipa kodi ya biashara na Road Licenses.
 
Hiyo ni treni ya TAZARA. Na hapo sio Dar ni naeneo ya nyanda za juu kusini. Mbeya, kwamfano.

Hiyo ni safu ya milima ya Mbeya "mbeya mountain ranges".

Milima hiyo ina vilele kama vile livingstone na loleza.

Elimu yako ni ndogo sana. Ni vyema ukajisomea kila siku na kufuatilia habari bila kukosa.


Ujuaji mwingi mbele giza ona sasa ulivojipakata hilo ni gogo la reli ya kati kama unahis unaijua geog ya bongo think again. Son tanzania is full of miinuko
 
Nimepata wasiwasi juu ya wachangiaj wa hii mada, wanataka barabara za serikali zisitumiwe na watu binafsi kuingiza kipato. Sasa katika serikali ya bodaboda na mama ntilie, hao bodaboda watatumia barabara zilizo jengwa na nan? Kama sio serikali ya ccm.
THINK BIG
I

Ipo kazi kwei! Hoja iliyopo mezanini kwamba uma umekopa hela kujenga barabara na ungetegemea Uma utumie mrad huo kuzalisha fedh il kuweza kulipa den. Kinyume chake, anapewa mtu binafsi kama alivyopewa Kingunge pale Ubungo Teminal Enzi zile...na tujuavyo atalipa kiduchu. Upande wa pili hoja ni kuwa upatikanaji wa huyo mtu haujazngatia itaji la sharia za manunuzi...sasa wewe wapi na wapi na Mama Ntilie?
 
Back
Top Bottom