Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,272
- 31,396
Akinena Mjini Bukoba jana, Magufuli amedai amegundua wengi wana muunga mkono mchana lakini usiku wako kinyume.
ANGALIZO,
Ufalme ukigawanyika hauwezi kusimama.
Mnara wa babeli ulianza hivyo... Mwisho wakapoteana kabisa...