Recent content by Zamaulid

  1. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania Deni limenifunga kazini nataka kutoroka nikalipe kidogo kidogo

    Mme wangu siyo?!basi sawa
  2. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania Deni limenifunga kazini nataka kutoroka nikalipe kidogo kidogo

    Kajiongeza tu...hata jamaa angekuwa na mtaji angeweza kujiongeza kwa kuweka hela yake hapo...ushauri wa kumchoma mke ni wa kitoto...
  3. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    hivi uliponaga hilo tumbo!my wife wako alipataje ujasiri wa kukoroma wakati wewe unaumwa?!
  4. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania Deni limenifunga kazini nataka kutoroka nikalipe kidogo kidogo

    Mnatamani kuvunja ndoa za watu...
  5. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania Deni limenifunga kazini nataka kutoroka nikalipe kidogo kidogo

    Ushauri wa hovyo kabisa...kisha haribu kazi unataka sasa aharibu na ndoa ya watu!achana na roho mbayaa
  6. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania Yanga walimkosea nini Huyu mchungaji?

    ha ha ha anaitwa nani?
  7. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania Asili Halisi ya Mwenge wa Uhuru: Siri Yafichuka

    Ha ha hutaki kuamini?
  8. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania Polisi: Conrad Agonza Kayoza anashikiliwa kwa kumshambulia kwa ngumi na mateke Askari wa Usalama barabarani

    Ha ha ha ha ...kavaa miwani apate kumwona vizuri!
  9. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania Mwanamke nimezaa nae lakini anakata na kuyaunga mawasiliano anavyotaka yeye je hii sawa kwa mzazi wa kiumbe?

    Pole mjinga unayejifunza...ishi naye kwa akili tu...ikiwezekana akuonyeshe na cheti cha mtoto kuzaliwa
  10. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania Nini kimempata Mzee Warioba?

    Hivi eda huwa miezi mingapi?
  11. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

    Kwa hiyo atakaa eda miezi kadhaa bila kutoka home?
Back
Top Bottom