Juliana mbona unakua na akili fupi??? Katika kutaja taja kwako jina la Wegesa Suguta ni kutaka kutuaminisha kwamba jina la John Heche sio jina lake,then ndani ya maelezo yako unatuambia anafisadi gari la chama kwa kumpa mdogo wake anayeitwa "Chacha Heche" Kama Heche sio jina lao kwa nn mdogo...
ukute wewe ni mmoja wao wa wanaolipwa 250,000 afu unajifanya unaombea wenzio msaada! Anyway inawezekana kazi hyo ilikua inataka mtanzania yeyote wa kuifanya sema tu kwa sababu degree zimekua nyng mtaani ndo kama hivo kazi za drs la 7 wanafanya form six,kazi za form 4 mnafanya wenye degree...
KWA mara nyingine tasnia ya habari nchini imepata pigo la kuondokewa na Mhariri
Mkuu wa gazeti la kila siku la Jambo Leo, Willy Edward (38), aliyefariki ghafla
usiku wa kuamkia jana akiwa mjini Morogoro.Taarifa za kifo chake zilitolewa na mhariri mwenzake wa gazeti la Mtanzania,
Kulwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.