Mkurugezi wa Dodoma ni hovyo sijawahi kuona ananyang'anya wananchi maeneo na kuyauza then anatangaza kukua kwa mapato ya jiji huu ni upuuzi pyuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapoteza ramani ya maisha yako kijana endeleza shughuli zako hapa hapa East ila ukiwa na shahuku ya kuruka utayajutia haya[emoji1483][emoji1483][emoji2539]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi huu unaamsha uchochezi wa kidini kitu ambacho Tanzania hatuna upuuzi huo hivyo kama unaweka uzi fikilia kwanza[emoji119][emoji119][emoji850]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu hivyo hivyo pia wamarekani wanakotupeleka tusipo kuwa makini na tukabaki mashabiki yatatukuta ya Libya soon
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ulisoma ukitegemea ajira ukasahau kuwa tunasoma kuongeza maarifa na namna gani tupambane na maisha na ndiyo maana baada ya kuukosa urubani umeishia kuwa mpishi pole sana kuwa mwalimu mzuri kwa wanao nao wanaposoma wasitegemee ajira ya serikali bali kujitegemea na kujipambania wao tofauti...
Hawa wamarekani wamekua chanzo kikubwa cha machafuko katika mataifa mengi duniani hasa katika bara la Africa tufikili zaidi nasi pia juu ya kile walicho lenga kwani hata katika VISA yao wamesema kuwa nchi zilizo zuiliwa wanapaswa kukubaliana na maafisa wao wa usalama kufanya kazi kwa ushilikiano...
[emoji1360] hao hao wameiweka Libya kwenye machafuko na leo Libya wanatamani yule gwiji Gadafi afufuke nasi tunataka kuwasujudu wamarekani amini ipo siku tutalia na kuwatolea maneno machafu hao wamarekani kwa kusema kuwa tungejua
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.