Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,822
- 11,572
Hivi kati ya vita ya kidini na kisiasa,which is more likely kutokea hapa tz?Mpaka BAKWATA wametoa tamko jua siyo mchezo!
Hivi kati ya vita ya kidini na kisiasa,which is more likely kutokea hapa tz?Mpaka BAKWATA wametoa tamko jua siyo mchezo!
Alichofanya Waziri sio sahihi,kwa kuwa kuchana Qur'an hakuna uhusiano wowote na kazi ya mhusika.Alichofanya Waziri ni purely hisia binafsi ambazo zimekuwa ignited na uislam wake,kitu ambacho si sahihi.Sio siri kwamba waislam wanapata hasira za kupindukia dini au mtume wao anapokashfiwa kwa njia yeyote ile.Zipo nguvu "hasi" nyuma ya hasira hizo.
Wachome mskitini kwa sababu ipi? Kwa kipi walichofanyiwa na waislamu hadi wachome msikiti?Ushawahi kusikia wakristu wamechoma msikiti?
Mwarabu koko wa Kibondo una ushujaa sana nyuma ya keyboardsWakristu wanadhihirisha kuwa hawajielewi na kuna kitu wanakitafuta.! Watakipata
Tito alikamatwa na police ndio baadae akaachiwa,hamkumbuki hiiKama ambavyo wenzetu wale walimvumilia nabii tito wakampotezea na RPC wa dodoma akamuacha mtaani akiendeleza mahubiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani waislam walipochoma makanisa zenji ilikuwa kwa sababu gani?Wachome mskitini kwa sababu ipi? Kwa kipi walichofanyiwa na waislamu hadi wachome msikiti?
I agree with you, nilivyosikia ni kuwa amefukuzwa kazi kumbe ni kuwa amesimamishwa kupisha uchunguzi!?Labda Ku kuelimisha that does not qualify as "unfair termination", he has not been terminated but suspended pending an investigation...so hajafukuzwa therefore hamna unfair termination... Probably ataitwa kwenye disciplinary committee kama wataona kuna grounds nzuri watamfukuza, if not atarudishwa kazini kama kawaida.
Je hao walioapa kuua mtu (kosa kisheria) wameshakamatwa na vyombo vya usalama?tatizo sio kushinda mkuu, kuna waislamu wameapa kumuua, yani jamaa ana hatari mbele yake
Sent from my iPhone using JamiiForums
Usimwambie aniteue uwaziri mwambie mimi nataka anipe uraisBasi ngoja nimwambie magufuli akuteue wewe uwe waziri wa serikali za mitaa badala ya jaffo
Aisee nimeshangaa sana eti yule aliyechana Quran kukamatwa kisa eti ameleta uchochezi wa kidini
Kwamba angeamsha hasira za Waislam na wangeweza kuchoma makanisa na kusababisha vurugu kubwa
Yaani hapa wanamaanisha Waislam ni watu wasioweza kupuuza jambo kama hilo, na ni watu wanaoongozwa na mihemko na hasira bila kufikiri, haya ni matusi makubwa sana
Yaani Waislam hawezi kumpuuza chizi mmoja aliyechana kitabu chao? Yaani wangeleta vurugu kwa watu wasiohusika kisa kitendo cha chizi mmoja?
Hii ina tofauti gani na kuhalisha hii dhana potofu kuwa Uislam ni dini ya vurugu na kuwa Waislam wanajilipua kutetea imani yao?
Waislam hawaetereki na kitu kama hiki, so kudhani wangeleta vurugu ni matusi kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Nabii Tito kukamatwa sikuafiki ndugu, hata hivyo nabii Tito aliendekeza uhayawani wake kwa miezi kadhaa na hakuna Mkristu aliyemdhuruNabii Tito alivyokamatwa hatukuona mada hizi watu walipongeza jeshi la polisi maana walikuwa wanaomba sana polisi ichukuwe hatua hawakusema wampuuze.
Kwa hiyo Waislam wangefanya vurugu kweli?Sheria ndio inasema hivyo. Hata angechana biblia pia angetakiwa akutane na mlolongo huo huo.
Hii nchi kuna makundi mengi ya waumini, na inabidi tuishi kwa kuvumiliana. Sasa huyu achane Quran, yule achane biblia takatifu, yule achana rozali patakalika kweli?
Tujifunze kuishi kwa kuheshimiana kama tulivyiweza miaka yote bila kujali dini zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mihemko yao ni mikubwa kiasi kwamba hawawezi kupuuza jambo kama hilo? Unamaanisha kuwa Waislam wapo tayari kufanya vurugu hata mauaji ili kutetea dini?Hiyo ni tafsiri yako kwamba vurugu zingetokea kwa sababu waislam wanaongozwa na hasira. Wengine wanaweza kutafsiri kuwa vurugu zingetokea kwa sababu waislam wanaongozwa na mapenzi makubwa kwa dini yao, kitabu chao na Muumba wao.