Nataka kwenda Qatar au Dubai. Maisha ya huko yakoje?

Ujinga huanzia kwa madalali yaani wakati mnaondoka kichwani mwako kazi ni security ukifika kule mnapigwa mnada kwa maboss wa kiarabu so omba upate boss mstaaarabu na muelewa la sivyo yanatokea mambo ya kunyang'anywa pasport na kuwa mtumwa kwenye jengo ambalo linalindwa na walinzi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hao madalali nawapataje?? Na mm nataka niingie huko


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nenda mkuu, nenda usirudi nyuma, sina uwakika na Dubai lakini Qatar kuna namba kubwa sana ya raia wa Afrika mashariki hasa kenya na Tz, kwa ambae amefika Doha miaka ya hivi karibuni atakubaliana na mimi, kimsingi usichague kazi, ili mradi iwe ya halali, ukifika Hamad I.A pale doha utakutana na vijana wengi wakisafisha maeneo ya Toilets huku wakiongea lugha ya kiswahili.

Mkuu nipe password za kuingia huko, ni link na dalali


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mwanangu kama unaweza nenda korea kusini kule kuna fursa na maela yani unalipwa mshahara mrefu. Qatar sikushauri labda dubai maana Qatar ni waconservative

Hao wakorea hawana ubaguzi kwa ngozi nyeusi kweli?
 
Back
Top Bottom