Recent content by Zakamwamoba

  1. Zakamwamoba

    JamiiForums Tanzania Polisi yafafanua madai ya kuwa Sheikh Abdulrazack Mohamed ambaye hajulikani alipo kwamba alikamatwa na Polisi

    Bro mtu akituhukiwa afu akaachiwa wewe unaelewa nini?
  2. Zakamwamoba

    JamiiForums Tanzania Watu wanaodhaniwa kuwa Polisi wamkamata Sheikh Abdulrazack Mohamed na kumpeleka kusikojulikana

    Taarifa kutoka huko Tunduru mkoani Ruvuma zinadai kwamba Sheikhe afahamikae kwa jina la Abdulrazack Mohamed alikamatwa na watu wanaodhaniwa kuwa polisi (kutokana na mavazi yao) mnamo tarehe 7 mwezi March 2024 na kupelekwa kusikojulikana. Ndugu walivofanya ufuatiliaji kwenye vituo vyote vya...
  3. Zakamwamoba

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri Jamaa yangu amekamatwa na gari ya wizi

    Yeye alinunua gari kutoka kwa Dalali au mwenye gari?.Siku hizi kumekuwa na utaratibu madalali wanauza gari bila kuwepo mwenye gari.Wao wanakupa kadi ,Picha na kitambulisho cha mwenye gari ili ukabadili umiliki.Hii ni hatar sana mi nishawahi kataa kununua gari kwa style hii.nilimwambia Dalali...
  4. Zakamwamoba

    JamiiForums Tanzania Brands maarufu za zamani Tanzania 90z kurudi nyuma

    Phatfarm,Chupi ya Taiwan
  5. Zakamwamoba

    JamiiForums Tanzania Tuoneshe your phone HOME PAGE tuone your FAVORITE APPS

    10 play
  6. Zakamwamoba

    JamiiForums Tanzania Tuoneshe your phone HOME PAGE tuone your FAVORITE APPS

  7. Zakamwamoba

    JamiiForums Tanzania Kiwanja cha meter 11x15 naweza jenga vyumba 3 na sehemu ya Parking?

    Hiyo kawaida sana inategemea na mishe zako,Kuna mishe mtu inatakiwa uwahi afu ndo inakuingizia pesa so unaanza na usafir ili usave time kipato kiongozeke upate hela ya kujenga. Ila kama hela yako kupata kwa mwaka mara moja lazima utaanza kujenga.
  8. Zakamwamoba

    JamiiForums Tanzania Kiwanja cha meter 11x15 naweza jenga vyumba 3 na sehemu ya Parking?

    Wakuu Kama kichwa kilivotanabaisha hapo juu,Kuna mahali nina kaplot ka ukubwa wa Meter 11x15 nataka nianze kukafanyia kazi.je naweza fyatua kanyumba ka chumba tatu na eneo la parking likabaki?
  9. Zakamwamoba

    JamiiForums Tanzania Raia wenzangu tunaoendelea kusimamia na kuamini maono ya Hayati Magufuli tusiwe wanyonge

    Unafiki ni mbaya kuliko usaliti.Yaani hayo yote leo hii mzee anaonekana hajafanya cha maana.Wajue JPM na watu ,tunakoelekea nchi itachafuka hii,ww acha tu waendelee na maneno yao ya shombo.
  10. Zakamwamoba

    JamiiForums Tanzania Raia wenzangu tunaoendelea kusimamia na kuamini maono ya Hayati Magufuli tusiwe wanyonge

    Wale raia wenzangu wazalendo tunaoitwa MATAGA kwa kuendelea kusimamia na kuamini maono ya hayati JPM tusiwe wanyonge. Hiki ni kipindi cha mpito, acheni wabwatuke lakini muda si mrefu ukweli watajua nani ni mzalendo hasa wa nchi hii. Yataibuka mambo mengi lengo ni kuharibu taaswira ya hayati...
  11. Zakamwamoba

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuichafua oil chafu, itakuchafua. RIP Dkt. Magufuli

    Ili umpige mbwa mpe kwanza jina Chafu .Issue ya Bashiru iliniuma sana aisee.Hata kama ni chuki kwa hekina angemhifadhi hata nmiezi minne lakin hata matanga hatujaanua jamaa anatolewa tena kwa kudhalilishwa. Sasa hivi mama anawasikiliza ukawa huko twitter,wao ndo wanapanga nani awe mkuu wa...
Back
Top Bottom