Naomba ushauri Jamaa yangu amekamatwa na gari ya wizi

Aidha aliyeimiliki na kuiuza kuna kodi zimeletwa kwa jina lake la umiliki wa gari ili hali alishaliuza kwa makubaliano kuwa mara baada ya mauziano abadili umiliki ila jamaa aliyenunua akaona haina shida akabaki nalo hivyo hivyo na kukataa kutoa ushirikiano kisha akaiuza. Mwisho wa siku lazima mmiliki wa kwanza aende polisi aseme imeibwa hiyo ndo mbinu pekee ya kumuondoa kwenye mzigo wa TRA. Hii inatokea mara nyingi sana hasa kwenye mfumo huu wa kidigitali.
Kwa nn mtu asingizie kuibiwa gari kisa kodi za TRA? kwan wakikuletea zile taarifa za kiasi cha kodi unachodaiwa afu we ukazopotezea na kukaa kmya watakufanya nn?

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Yeye alinunua gari kutoka kwa Dalali au mwenye gari?.Siku hizi kumekuwa na utaratibu madalali wanauza gari bila kuwepo mwenye gari.Wao wanakupa kadi ,Picha na kitambulisho cha mwenye gari ili ukabadili umiliki.Hii ni hatar sana mi nishawahi kataa kununua gari kwa style hii.nilimwambia Dalali anikutanishe na mwenye gari akalala mbele .So tuweni makini sana na hivi vitu vya mikononi kama gari ,Simu nk..Msala ni dakika sifuri .
 
Lengo lako n nn ukutanishwe na mwenye Gar
 
Back
Top Bottom